Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hyo kesi kwangu ni ndogo sana.

1 ninge mtafuta mtu anae endana na sura prisca nimpange kisha namkutanisha na iryn

2 wakati nimepata nafasi ya kuingia ndani ninge omba kuongea nae ninge mpanga hata jamaa yangu kuwa aseme ni mpenzi wake prisca na ajifanye ana mjua marry na mambo mengine, na ninge muambia iryn kuwa yule binti hajui mpenzi wake prisca ni nani kwa kuwa mwanzo huyo jamaa alikuwa close na mary ila alijikuta wana mapenzi ya siri na mdogo wake so ika bidi prisca awe ana waambia marafiki zake kuwa mimi ndo mpenzi wake.

3 ninge muandikia bonge la barua kumwambia kinacho endelea na kumuomba msamaha na kukiri kumuweka wazi ila kwa kivuli cha uongo hapo juu.
na ninge muweka wazi kuhusu hisia zangu kwake na kumuomba awe open
 
Hakuna siku umenikela kama leo,😎😎😎
Wewe kila kitu kuondoka bn hujui kujitetea.
Antonnia Kalpana em njoeni aiseh.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aty majibu ya nin?
Mijitu mingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa stori ni chai, tunafanyeje sasa maana tunaendelea kuisoma

Sent from my HW-01K using JamiiForums mobile app
 
Iryn kashamind sisi watu wa masters tunajua tu iryn atakuja kuomba msamaha ......mtu kakosea unampiga kibao wakati hujaguswa

KWA mbaali naona hii kesi itakuja kuisha
Lkn mim INSIDER MAN kwa kweli ananipa hasira zaid yani ety kilasiku yeye kitu kidg anaondoka.
Yani hapo alishindwa hata kujifanya kama anataka kukata moto.
 
Nimeanza kuchukia, sikuchukia sehemu yeyote ya matukio yaliyotokea huko nyuma ila kuanzia alipomruhusu Eva kumropokea mbele ya Iryne ndo alianza kukosea

Yaan hata mtu alewe vipi na ww hujalewa, na una akili timamu manake unajua madhara ya kitakachotokea, unaruhusu vipi mtu aropoke?

Yaan hapo ndo ungemkatia huyo Eva mpaka pombe zimuishe, akianza kuongea unampinga kabla hata third part (Irene) hajajua alitaka kusema kitu gani

Kila akifungua mdomo anakutana na kipingamizi na story mpya na mwisho ungemuaga kwa lazima, yaan Ile ya lazima uondoke na sitaki ulevi, maneno makal flan ya kumuondolea kile alichotaka kusema abaki upande wa hasira na hapo ungeshinda

Sehemi ya pili niliyochukia Ni hapo ulitaka eti kumkiss adui yako (Irene), ulichagua njia mbovu sana ya maridhiano, mtu bado ana hasira na ww ndo ukimbilie kumkiss? So you had no anyword before kissing my friend

Hiyo ingekuwa njia salama kwa pisi yako lakin si kwa mtu asiye wako aliyefungua masikio kutaka kusikia maneno ambayo yangemfanya acheke na hapo ndo ungegongelea msumar wa moto
 
Hujui Mama 2 ni Single maza? Halafu hao masingle maza huwa wanakuwaga na wenge jingi sana sasa kumpata mtu kama INSIDER MAN huwa wanapata faraja sana. Kama hauamini endelea kutokuamini Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…