Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu endelea kusoma hakuna mtu kakukataza sawa??....Mimi natoa mtazamo/maoni yangu TU mkuu heshimu Kama nilivyo heshimu maoni yako.......usijibu shiit TU waambie na wenzio mkuu
Tunaweza kukujibu shit na hamna kitu utafanya!! Mbona kama unatishia watu humu who hell are you mo' faka!!
 
En
63 loading
 
Ooh oky ni 'gud boy'
I'm good if you good to me....but I'm so harsh if you act harsh on me....na navurugwa kweliii....thus how we people on northern tz were born it's our nature....so I'm real heshimu maoni yangu nami nitayaheshimu yako
 
Utuambie muda gani, sku gan ataendelea. Hii story haitabiriki acha tutulie tuliiii
 
Weka nyingine bhana sasa io moja tunaishi vipi
 
ANNOUNCEMENT

Nitarudi kwenu kumalizia hii story pindi nitakapo maliza kuzipitia Episode zote. Hapa sasa nitaanza kuzipost na story itaishia na Episode ya 70, tuna Episode 8 tu zimebaki.

Niko busy na kuweka mambo sawa maana mwezi huu natarajia kuanza Masomo yangu ya masters Mungu akijalia uzima.

Kwa wale ambao mna ni-Pm nashindwa kureply mtanisamehe maana nakutana na message nyingi sana ila nitazijibu. Nikimaliza hii story wale wenye maswali nitawajibu, wale ambao mnataka kufanya biashara lakini hujui location tutapeana connection.

Naomba muwe na subira mambo mazuri yako njiani, mpaka sasa aliyepatia kuotea mwisho wa hii story ni mmoja tu na aliotea mwanzoni kabisa wakati mambo hayajaanza kukolea. Huyu nitaitafuta comment yake na nitampa zawadi sijui kama bado yuko online.

JIONI NJEMA.
 
Tunaweza kukujibu shit na hamna kitu utafanya!! Mbona kama unatishia watu humu who hell are you mo' faka!!
You were born sh!;t from your momma's womb....your living sh!;t life you mofo and you'll die and go tell as sh!t and Satan will eat your @** and rename you as $h!t
 
khaaa kibao mpk sikio kulia nziiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ila uliyataka mwenyewe mzee umezingua kinoma badala iryn ilikuw ni wakumpachika ukuni kitambo sana yan mpk episode hii holaa ona sasa badala umchape na ukuni ww ndio unachapwa kofi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sipendagi ambush hata mama J akipandaga hasira huwa nasepa hii ni njia nzuri sana, sipendagi maneno kabisa wa ugomvi.
Sawa lkn hapo kwa Lryn hapana na ww insider umezid bana.
Ungetutumia leo nxt episode hii ya leo fupi sana.
 
Lkn mim INSIDER MAN kwa kweli ananipa hasira zaid yani ety kilasiku yeye kitu kidg anaondoka.
Yani hapo alishindwa hata kujifanya kama anataka kukata moto.
upo sahii mwana yaani hapo alitakiwa ajirushe chn, anaanza kuweweseka kama mtu wa kifafa iryn mwenyewe angejileta hapo chini na kuanza kujitahidi kumpa first aid, then angefufuka na hapo ishu ingeisha,
anyways. the fictioner at work.
 
upo sahii mwana yaani hapo alitakiwa ajirushe chn, anaanza kuweweseka kama mtu wa kifafa iryn mwenyewe angejileta hapo chini na kuanza kujitahidi kumpa first aid, then angefufuka na hapo ishu ingeisha,
anyways. the fictioner at work.
Kabisa man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…