Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sawa lkn hapo kwa Lryn hapana na ww insider umezid bana.
Ungetutumia leo nxt episode hii ya leo fupi sana.

Unasahau Iryn ana gun angeweza nitia Risasi na akajitetea nilikuwa mwizi[emoji23].

Pia Mlinzi alinisisitiza sana niwe mstaarabu ndomana nilivyoona Iryn ameanza kupata hasira niliamua kuondoka maana hata mimi nilipatwa na hasira muda huu.
 
Yani wewe insider acha kujitetea ban umeniangusha kinoma aiseh
 
Unasahau Iryn ana gun angeweza nitia Risasi na akajitetea nilikuwa mwizi[emoji23].

Pia Mlinzi alinisisitiza sana niwe mstaarabu ndomana nilivyoona Iryn ameanza kupata hasira niliamua kuondoka maana hata mimi nilipatwa na hasira muda huu.
Mwandishi acha kufuta comments zangu.....hii stori yako Ni chai ila nakupa respect kwa episodes 30 za mwanzo..
 
Mkuu endelea kusoma hakuna mtu kakukataza sawa??....Mimi natoa mtazamo/maoni yangu TU mkuu heshimu Kama nilivyo heshimu maoni yako.......usijibu shiit TU waambie na wenzio mkuu
Nilijua unasema chai ili tusiisome au mwandishi asiandike chochote, kama tutaendelea kuisoma comment zako cha Chai bado hazina impact.... There we go!!!!!!

Sent from my HW-01K using JamiiForums mobile app
 
Nazisubrii hzo brazaa........ Hongera Sana utunzi umetulia haswa.
All the best in ur studies [emoji109]
 
Nimecheka sana hichi kipande, hapo kwenye kuleta kiss ulichemka sana.
Ila alivyokupiga kibao napo ndio ticket nyingine ya wewe kumpata, ukiondoka hapo najua Roho itamuuma atataka akutafute myajenge, hapo Sasa ndio mtarudiana Tena, ila nimecheka kwa nguvu.

Na Bora ulishamkabidhi Mama pesa ya sukari mapema, msingeelewana kiingereza baada ya kile kibao Cha Iryn.
 
Hapa niko na Manuel aka Mzee wa kupeleka moto, [emoji23][emoji23]. Hapa tuko JNIA kabla sijaenda kupigwa kibao huko,View attachment 2769707
Hapa nipo na Iryn (Gennevieve) baada ya kumuacha na genye akaja Kidimbwi na ile Range Sports...Asee it seems like hakutiwa muda sana, alipizi mno na ilikua tight[emoji39]
 
Kwahy ratiba ya kupost story imebadilika au
 
Nilikua nakutetea kua unazingatia kazi na sio mapenzi kumbe ni kitombi unakula hadi workmate wako.

Jamaa iryn ulikua unamuogopa, utatumia maneno mbalimbali ila huyo dem ulikua unamgwaya. Na siku ya kumkula si ajabu mkuyenge usisimame kwa hofu (japo hutasema hapa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…