Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Pole sana mkuu, Arteta mzee wa kuzidisha spices kwenye mboga anakuamsha na hang over kesho.

Na bado hatujaSema kuhusu weekend hii na City. [emoji28].
YAN BADOO AMJASEMA MPAKA MTOE NNYA HUU MWAKA.
 
K
Kwahio masikio yakalia nziiiiiii
 
Mimi story nzima nimeipenda, ila suala la kutoa tip ya 50k kwa mlinzi, nimejiona Mimi sina hela kabisa
 
Mimi story nzima nimeipenda, ila suala la kutoa tip ya 50k kwa mlinzi, nimejiona Mimi sina hela kabisa
Kwa fursa aliyokuwa anaipigania lazima utoe hiyo hilo hata laki ni sawa, kuna watu wana hela bhana wewe acha tuu
 
Mama watoto kula 100K kwa mwezi mbona ndogo? Anakula 3,000 kwa siku?
 

Jamani tutafute hela[emoji23][emoji23] watoto wana gharama sana jamani sio utani kuna muda huwa namwonea huruma baba mtoto wangu[emoji3064][emoji3064] mwanangu pia anapenda nyama ni balaa[emoji119][emoji119] hapo ana mwaka na miez miez mi4 kwenye diaper hapo[emoji119][emoji119][emoji119] unamweka mpya ndo anapoopia hiyohiyo[emoji1787][emoji1787][emoji174][emoji174]
 
ni kwa sababu tunatumia acount tofauti ila tungetumia ulizozea ungekaa kimya
 
Mwaka juzi mama Samia alivyo ingia madarakani tu 2021 -2022

Anatoa pesa kwa kuwa nae anapata
 
Hawa wnawanunulia watot wao matambara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…