Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Duh....mbwa kazeeka hilo.
 
Bora uwape

Tumechoka kupakwa shombo[emoji23]
 
Eti leo vijana wanakuita Halland badala ya Maguire!?
 
Nimekuona Jana tai five hotel ukumbuni unacheza mziki kumbe ulikuwa unacheza huku ukisoma? [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tukutane 22:00 next episode ila kama una machozi ya Jirani usiisome[emoji24]
Ila kwa jinsi ulivyo karibu na lyin why usikae Naye chini akakupa Zari mtaji mkubwa Mana iyo ni Bahati tosha na pesa anazo nyingi ka.a anavyosema au unaona Aibu?Sasa Mzee pama kafariki usipomuonba itakula kwako au unataka kuwa Kama wacheza filamu za kihindi aje akupe bila kumuomba??omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…