Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa hiyo na wewe ulikuwa umekaa chonjo kusubiri mwenzio aliwe

Nikajua unaombea asiliwe 🤣🤣🤣🤣
 
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?

Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata mimi hili nimeliona jipya yaani umepewa jembe ufundishwe na kulima.....yeye angeendelea kulima tu mambo mengone yangejipanga mbele ya safari.
 
Kazi ipo watajijua wenyewe 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
"Kumbe kwa muda wote huu unanichukia kwa maneno ya kuambiwa na Rebby ambayo hayana ukweli wowote, kwa hili umenikera sana na ushapoteza trust yangu Kwako. Unaweza kuniambia sababu ya wewe kufanya hivi before sija kutia kibao?”


Hapo ulijifanya umeota mapembe as if kweli nothing was going on nyuma ya pazia kati yako na hao mabinti !!

Iryn anakukubali sana na anakupenda sana ni wivu tu nadhani !
Ninachojua huwezi kuwa na muda wa kumfatilia mtu ambae humpendi / humfeel!
 

Hayaaa saiz iryn anaitwa mummy jamani nyiee[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Na isitoshe mama J ni rafiki yangu unafikiri atajisikiaje akilijua hili?, kumbuka ana Moyo kama mimi. Kuna msemo unasema “what’s goes around comes around “ and karma is bitch.”


Nimeipenda hii!!

Japo nae anajichanganya hana msimamo ..huku anamwonea wivu huyo mume wa mtu huku anampiga spana zakufa mtuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…