Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Blessed
 
Am a your fellow nigga [emoji109]...... Njoo ule kitimoto Niko kwa iryn sinza
Hahaa mi ninapoishi ni jiran kabsa na kwenye hiyo apartment aliyokua anaishi iyrn hiyo triple 7 ndo mitaa yangu kifupi naishi karibu na piccolo karibu kabsa na mstaafu JK wa pili
 
Hii imeendaa hii!!

Naona ameota mapembe na ameshamjulia Iryn kwake hachomoi!

Nimependa alivokaza pamoja na kuliwa!!

Sema kumdharau kiasi hicho anazingua dem anajisikia vibaya itapelekea ajutie maamuzi ya kumpa mzigo jamaa, heshima iwepo pale pale hapo atafaidi vingi, kingine asisahau dem ana bastora.
 
Hii imeendaa hii!!

Naona ameota mapembe na ameshamjulia Iryn kwake hachomoi!

Nimependa alivokaza pamoja na kuliwa!!
Hapana naenda against na ww kuhusu kuota mapembe ....

Vuta picha ya maisha ya kawaida yaani mtu mnaaminiana afu anakusengenya ni red light kubwa Sana kuwa lolote unaweza fanyiwa msimamo wake ni mzuri pia tupo pamoja
 
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?

Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😂🤣🤣🤣🤣
 
Nimeweka kituo hapa nitarudii,,,,[emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…