Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Uuuh sasa ndo huu legend hapo nimekukubali mwambaaaaaa😂😂.
Antonnia ccy asante sana kwa tag
Kaparo
Kalpana
 
Hapana naenda against na ww kuhusu kuota mapembe ....

Vuta picha ya maisha ya kawaida yaani mtu mnaaminiana afu anakusengenya ni red light kubwa Sana kuwa lolote unaweza fanyiwa msimamo wake ni mzuri pia tupo pamoja
Hapana boss lady hamsengenyi Insaida ila anafanya hivo ili ajue ni mwanaume wa aina gani as mtu anaemfeel ukute hizo hekaheka zake za kizinzi za chini chini ndio zilizomtoa Iryn kwenye reli ya insider! True love comes with jealous in it!
 
Wakati tunasubiri INSIDER MAN alete mwendelezo, ngonja nishare experience kdg kuhusu mahusiano ya kimapenzi na watu wa kazini.
Nimefanya kazi almost miaka 2 kwenye post yangu mpya na ni sehemu ambaye robo 3 ya wafanyakazi ni wanawake.
Kuna mmoja nilimspot kumbe na yeye alikuwa amenielewa. Tumedate almost miezi 6 then tukaamua kuingia kwenye relationship.
Changamoto yake ana wivu sana. Hataki akuone unaongea na mfanyakazi mwingine wa kike. Kuna siku kadhaa amenikamata mfano nilipanda mshikaki wa boda hii siku alimind sana.
Last time nilikuwa nachat na mdada wa kazini kumbe wapo pamoja , yule dada msenge anamwonesha chats zetu eti fulani ananifurahisha hapa (zilikuwa normal charts sio mapenzi) bila kujua anatoa siri kwa mwenye Mali.
To make it short amenipiga kibuti aah aah tumebakia marafiki ila pamoja na kumbembeleza kote anasema harudi nyuma.
Kinachonishangaza kila mukioongea kwa simu au mkichat anaishia kuniambia vile alivyonipenda na nimeishia kumuumiza.
Jana nilimkuta kwa staff mate tulipiga story na kula pamoja. Baadae staff alienda mjini tukabaki wenyewe, nikawa na test kushika kiuno na kumhug wala hakukataa na jioni nilimuaga kwa kumkiss mdomoni.
Leo nimeendelea kumbembeleza turudi km zamani anasema hataki kuumia tena kwa wanaume anayeshobokea na kila mwanamke kazini.
Ukweli bado namhitaji sana lkn ni km nikiendelea kumbembeleza sana nitamkosa. Na plan kula buyu nisiongee kuhusu mahusiano yetu tena
Je inaweza kumsaidia kurudi nyuma ?
 
Sema kumdharau kiasi hicho anazingua dem anajisikia vibaya itapelekea ajutie maamuzi ya kumpa mzigo jamaa, heshima iwepo pale pale hapo atafaidi vingi, kingine asisahau dem ana bastora.
Kabisa hapo anafeli sana anamkaziaje kiasi hicho??
Sure kuna muda unajutia kumvulia Mtu fulani chupi ila ndio huna namna unabaki kuumia na nafsi yako tu!

Hivi Insaida alikua wa kumpiga Chini Priska???!!

Mapenzi ni hekaheka kiukweli!
 
Kwa hiyo na wewe ulikuwa umekaa chonjo kusubiri mwenzio aliwe

Nikajua unaombea asiliwe 🤣🤣🤣🤣
Eeeeendiwoo mkuu tena mefurahijee alivoliwa ametendewa hakii ipasavyooo!

Sema kwa sarau Insaida anazomletea nafurahi kuona Iryn anajisimamia regardless of what happened!! Mistakes are there to teach us lessons!
 
Unaweza kuniambia sababu ya wewe kufanya hivi before sija kutia kibao?”

“Ulitakiwa uulize kwanza kabla ya kuamua kufanya maamuzi ya kipumbavu kama haya

ifike mahala chuki zako kwa Sumaiya ziishe, tufocus na kampuni. Naomba umrudishe kazini kesho na usipo fanya hivyo na mimi naandika barua ya kuresign position yangu

Mzee baba kuna sehemu namna ulivyokuwa ukiongea na huyo Iryn ikiwepo hizi, ulikuwa unavuka mipaka...

Yes ni sahihi kumind kwa kuwa alikuwa anazingua, lakini selection ya maneno uliyokuwa unawakilisha kwake kwa kiasi fulani ulikuwa unafeli...
 
Huu uzii umeupitia vizuri....majibu ya ofisini yapo meeng hapa ndani
 
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?

Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hii imeenda...[emoji1787][emoji1787]
 
Yes, kula buyu but endelea kuwa nae karibu. Endelea kumjali pia, taratibu ataanza kurudisha mapenzi kwako but don't force it.
 
Mzee baba kuna sehemu namna ulivyokuwa ukiongea na huyo Iryn ikiwepo hizi, ulikuwa unavuka mipaka...

Yes ni sahihi kumind kwa kuwa alikuwa anazingua, lakini selection ya maneno uliyokuwa unawakilisha kwake kwa kiasi fulani ulikuwa unafeli...
Hii nayo imeenda....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…