Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Someni vizuri Sheria ya mirathi muielewe mtoto wa nje ya ndoa atambuliki labda mwenye mali amtaje kwenye usia
Kwani mkuu mbona mfano kwenye malezi mahakama huwa haitambui cha ndoa Mtu anatakiwa ahudumie? Kwahiyo hata ikitokea huyo sister imebuma kwenye mirathi basi anaweza mshitaki baba yake kwa kumtelekeza Japo kama hataki mambo yawe mengi aachane nayo tu
 
Wapo wengi tu na wanasafiri sana kwenda nje ya nchi. Mimi nina rafiki wa kike anajiuza. Apartment anayoishi ni balaa, nyumbani kwao si haba mama kumpa binti yake 1M kula bata na marafiki sio shida. Muda mwingi anaruka nje ya nchi na mwewe kwa wadau wake.

Kiuhalisia hana anachokosa kwenye maisha yake ila ndio hivyo anajiuza. Kwa hapa Tz ukimhitaji hata kama uko mikoani unamkatia tiketi ya ndege na hotel ya viwango vya kimataifa. Level za kujiuza zinatoafautiana. Kama anavyosema INSIDER MAN ukienda maeneo ya Sea Clif Hotel utawapata wa viwango vya dunia dau mamilioni
 
Kwani mkuu mbona mfano kwenye malezi mahakama huwa haitambui cha ndoa Mtu anatakiwa ahudumie? Kwahiyo hata ikitokea huyo sister imebuma kwenye mirathi basi anaweza mshitaki baba yake kwa kumtelekeza Japo kama hataki mambo yawe mengi aachane nayo tu
Kuhudumia na malezi ni vitu viwili tofauti...malezi ni haki ya msingi kabisa
 
Kununua mbunye kwa dau kubwa namna hiyo siwezi labda ndio maana iryn hatutaki watu weusi.

Ujue varangati zinazotokeaga huko machimboni kwa wanaojiuza kupigana na wateja wao ni hayo mambo wamekubaliana 20k jamaa kapiga kapizi anaona hajaridhika hataki kutoa ela au anatoa nusu.

Sema nini tutafute pesa tu.
 
Sentensi ya mwisho ndio ya msingi sana.

Ukienda pale mlimani city kuna TV za 25M-75M na kuna watu wananunua. Hao hawezi shindwa nunua huduma za akina Iryn tena kwa masaa tu. Na haina hii ya wanawake huwezi kuta wakigombanisha wanaume. Wako very smart na mambo yao.
 
Labda kikwazo ni uchumi tu, ukiwa unaingiza hata faida ya 1M kwa siku hutawakumbuka kina mwajumandala ndefu wa kwamtogole.
 
"Nilivyorudi home kucheki kile kibahasha nikakuta dada aliweka 300,000/= ya shukran. Ilikua ni saa 3 kasoro tayari simu ikaanza kuita kupokea alikua ni Prisca akanishukuru sana akampa simu na dada yake niongee naye. Dada yake anashukuru pia “kaka una roho nzuri afu inaonekana huna tamaa, maana kwa maelezo yake jana Prisca hakutegemea kama ingekua kwako, tutakutafuta siku tufahamiane nakama na kazi ntakua nakutafuta”, nikamwambia haina shida dada karibu."


Bila shaka watoto wa mafisadi wamelalia hela tuu
 
Nataka kuona watabiri hapa:

1. Unafikiri Iryn alikua anapiga mishe gani?

2. Vipi kuhusu Mama J atakuja kujua kazi yangu ya uber?

3. Nitakuja kumla Prisca??
Unafikiri Iryn alikua anapiga mishe gani?


No moja hapo huyu dada atakua malaya tuu,tena wale high classic
 
Hivi umeeleza iryn siku ile umevaa umependeza alikuuliza issue za mbotswana alijuaje?

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app

Hili hata mimi naweza kukujibu. Kwenye story telling huwezi kuandika kila kitu, inawezekana jamaa alishampa taarifa Iryn za Mbotswana na wakati anampeleka Airport Iryn alikua anajua. Alichotumia jamaa hata kwenye movie vipo sana.

Jamaa amesoma Uchumi ila anajitahidi kuandika vizuri sana, anatumia mbinu nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…