Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Man Insider from being Harry Maguire to being Kylian Mbappé [emoji91][emoji91]

Mkuu umetisha sana, Mungu akawabariki SANA wewe na Iryn Kwa kujitoa kusaidia watu wa Hali ya chini[emoji120][emoji120]

Amina mkuu December na ratiba za kwenda Kutembelea watoto yatima, [emoji120]
 
So ukisema social unamanisha nini? Mana udom inaanzia chimwaga.mpaka medicine. Au weee nhuwa unaendaga ngo'ngona mzee.kuvizia wale wanaokujaga kujumua pale sabasaba.madumla ya nyanya
Social na humanities nazo ni college zilizopo UDOM.
 
Mr INSIDER MAN habari yako.
Usitoe ep nyingine hadi Alhamisi.
Sababu;
Ukitoa alhamisi nitaweza kuiuza kwenye group langu la Whatsapp nipate PESA za kunywa Bia [emoji481] siku ya ijumaa wakati SIMBA [emoji881] anacheza.
Nadhani umeelewa na utatii maamuzi haya.

Nakutakia utekelezaji mwema.
 

Daaaah, basi Iryn alikua tajiri sana kama ndo hivo, kwa hesabu ya haraka haraka tu tuseme Iryn ilimtoka zaidi ya 10.M kwaajiri ya matumizi huko Dodoma [emoji15][emoji15], watu wana pesa bhn.[emoji2297]
 
Sina wivu hata chembe lakini roho inauma sana.

Hongera sana kwa kupata
 

Mkuu itapendeza ukiwa unatuma na pesa ya heineken kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…