INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
- Thread starter
- #9,161
Hii ni moja ya picha niliyochukua huko Mondo
Sijaona u-Mbappe wowote hapo kwa Maguire wetu. Ni vile tu refa kaamua kutubeba. Bila hivyo tulikua hatutoboi hii mechi!Man Insider from being Harry Maguire to being Kylian Mbappé [emoji91][emoji91]
Mkuu umetisha sana, Mungu akawabariki SANA wewe na Iryn Kwa kujitoa kusaidia watu wa Hali ya chini[emoji120][emoji120]
Haaaahaa "muda huu" mkuuMuda huu tunategemea episode ingine
Iryn mbona hayupo Kwa picha akachagua nyamaHii ni moja ya picha niliyochukua huko MondoView attachment 2781992
Tusimulie basi zile tabia za hovyo hovyo za ma cerebrities wa bongo uliokutana nao pindi ukiwa driverHii ni moja ya picha niliyochukua huko MondoView attachment 2781992
Wangapi tushaona mimba ya Iryn uko mbeleKaka usilemae chap cha mtoto.. u balance equilibrium. Pindi mama J anarudi kutoka uchagani akute Iryn mate hayakai mdomoni.
Maguire akiscore dunia nzima inafurahi.
Hujatuambia mkuu ulikuwa unamkula iryn wetu na zana au nyama kwa nyama?
N:B Ndugu mfuatiliaji zingatia hii statement kwa makini sana "Stop disrespecting my woman"Mbona kama huyu dada namjua hawa ni wale wauzaji wa hapa mjini, stop disrespecting my woman [emoji120]
Kuna Teacher Mmoja Msukuma pale Juhudi alikuwepo anafundisha Chemistry hakuwahi kukubananisha nishamsahau jina ila ninafahamiana naeUkifika Juhudi Secondary pale gongolamboto miaka ya 2012 utakut historia yake.
Tusimulie basi zile tabia za hovyo hovyo za ma cerebrities wa bongo uliokutana nao pindi ukiwa driver
Kuna Teacher Mmoja Msukuma pale Juhudi alikuwepo anafundisha Chemistry hakuwahi kukubananisha nishamsahau jina ila ninafahamiana nae
Ulijuajeeeeee soon nahamia Dom kama sio moroo🤠! Hivi Dom wilaya gani nzuri kwenye aspect zote??
Santroo sana sis nimefikaaa! Ngoja nianzie nilipoishia sijui hata napakumbuka lol!!