Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mhindi koko unajua kuleta chai
 
@INSIDER MAN iyo mambo ya parking terminal 3 kupigwa chain mimi yalinikuta mwenzio yani kwenye parking tairi laa mbele sikulinyoosha likakaanyaga mstari wa njano maan nilikuwa naharaka nilikuwa namuwhisha mama ako mdogo ,sasa niliporudi nikakuta Chain mzee niliangaika naa wale askari nikawaambia naomba nimwone bosi wenu wakampigia ile anatokea pale kumcheki ni dogo wangu wa mtaani Tumecheza nae magari ya mabaati,ya waya na hata matope ,dah dogo akaniambia bro asee Uko dar nikamwambia nipo mzee asee awa wamefunga gari yako asee uyu ni bro wangu akawa anaawwasilimulia maaskari pale alikuwa annitengenezeaga magari ya waya ,afu tumecheza sana kwnye mvua tulipokuwa wadogo,(chuga uko) asee tukabdilishana namba gari ikafunguliwa maana jamaa mwanzo walitaka 50k ,dah ndio ikaw ponea yngu .
 
palepale nikapata wazo Mbotswana ameondoka na muda bado upo kama siku 9 ndo kodi yake iishe kwenye ile apartment. Nikapata wazo kwanini nisiende na Mama watoto tukachili kwenye ile apartment? Kidogo tubadilishe mazingira?




Haki nimecheka [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hicho kipande hapo juu[emoji115][emoji115]
 
SAS kwanin tusikutilie mashaka ikiwa unasuasua kuleta kiini Cha story yako " moral of the story"
 
EPISODE 12

“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”

Asubuhi niliamka mapema sana na Mama J kama kawaida alikua amelala. Sikutaka kumwamsha nilijiandaa nikaondoka kuelekea mzigoni. Nilipiga kazi ilivyofika saa6 mchana nikaenda Masaki kuwachukua madogo wa kule shuleni niwarudishe makwao. Nilivyomaliza kuwapeleka nikasema acha nirudi home nikaongee na Mama J. Maana mama J akili zake anazijuaga mwenyewe.

Nilipatwa na hasira sana baada ya kufika home na kweli sikumkuta Mama Junior wangu, kaondoka na alikua hatanii. Nikasema chanzo cha yote ni mimi sababu ya kutokufuta message kwenye simu na pia nilijikuta napata hasira kwa Prisca.

Nikampgia simu Mama Junior lakini hakupokea simu zangu, nikawaza nimpigie Mama mkwe? Nikasema hapana siwezi fanya huu upumbavu. Nikapata wazo nimpigie simu mdogo wake, baada ya kumpigia akasema Mama J yuko home. Nikamwuliza amesema amerudi kwasababu gani? Akanambia dada amesema amerudi sababu Jumatatu anaanza chuo afu huyu dada wa kazi bado hamwamini kwenye kukaa na mtoto.

Nikakaa kwenye coach nikitafakari next step, nikawaza mimi na Prisca nothing happened lakini mama J haelelewi hili. Bhasi nikasema hizi hasira zangu leo zitaishia kwa Prisca.

Nikampigia simu Prisca lakini akakata, akanitext back chap “I’m in class” nikamtext “Ukitoka nambie”.

Baada ya nusu saa alinipigia na muda huo ilikua jion saa 11. Nikapokea simu yake chap,

MIMI: “Mambo, ushatoka class?”

PRISCA: “Ndio, hiki kipindi cha jioni huwa kinakera sana, Lecturer mwenyewe ni mnaa sana”

MIMI: “Leo ni weekend nataka nikutoe out”

PRISCA: “Mhh mbona fasta hivo jaman, why hukunipanga mapema leo nimevaa hovyo sana.”

MIMI : “Kwahiyo hutaki sapriz yangu? Si unaenda kubadilika?”

PRISCA: “No Insider, ishu ni kwamba natokaje pale kwa mzee Mapembe muda huu.”

MIMI : “Kama haiwezekani bhasi, kwaheri”. Nikakata simu. [emoji3513]

Ndani ya sekunde akanirudia;

PRISCA : “Unanikatia simu still nilikua naongea”

MIMI : “Wewe si ulisema haiwezekani?, ndomana nikakata, ulichosema ni kweli home hawawezi kukuelewa”

PRISCA: “Mimi sijakataa natamani tutoke out, mbona wewe unanikubaliaga?”

MIMI : “Sounds like Yes”

PRISCA: “Yeah. Wewe uko wapi?”

MIMI : “Niko home mimi, ukiwa tayari utaniambia nije nikuchukue.”

PRISCA : “Ngoja ni request boda ili niwai.”

Prisca akanipigia simu yeye ndo amefika home anaoga kama vipi nianze kusogea. Nilijua Prisca hawezi kuchomoa lazima angekubali tu.

Mipango yangu ilikua ni kumla Prisca hii siku hivyo nikasema leo sitokwenda kwa Iryn.

Palepale nikampigia simu Iryn nikamwambia nimepata emergence mamdogo wangu anaumwa sitoweza kuja mpaka kesho (nilimdanganya).

Iryn hakuwa na noma akanambia “It’s okay Insider If you need any support just call me”. Nilimuahidi kesho ambayo ni jumamosi ningeenda kuendelea na kazi.

Nikafungua droo yangu nikatoa kiasi cha pesa ambacho nilijua kitatosha kwa huo muda. Nikatoka home nikaelekea kumchukua Prisca pale kwao, muda huo ilikua saa 1 usiku tayari.

PRISCA : “Huku ananiangalia, so where are you taking me to?”

MIMI : “Utaona, umemuaga Mary?”

PRISCA : “Yeah nimemwaga ila anajua nakwenda hostel sijataka kumwambia namit na wewe.”

MIMI : “Kwanini sasa unge mwambia ukweli kama kuna lolote iwe rahisi kufanya backup?”

PRISCA : “Mary angejua natoka na wewe na yeye angetaka kuja, afu hujui tu da Marry ana tufeelings kwako”

MIMI : “Nitawaoa wote hamna shida”

PRISCA : “Mshenzi kweli wewe, akanipiga na kibao kwenye paja”

Namimi sikutaka kumpeleka mbali sana, tulikwenda pale Upepo garden. Nilitokea kupaelewa sana hapa na niliplan ipo siku nitamleta Iryn na Mama J.

Tuliwasili pale Upepo Garden mapema sana, maana sio mbali kutoka kwa kina Prisca, tukapata sehemu nzuri ya kukaa. Niliagiza JD hii siku, maana nilitaka kulewa kisawasawa na pia ukizingatia toka nianze kazi ya Uber sikuwai kutoka out nikaenjoy, muda wote niko barabarani.

Niliagiza JD, coca 2 kama mixer, redbull 2 na maji ya kunywa. Upande wake yeye Prisca aliagiza wine “4 cousin”, sasa wakati dada analeta vinywaji ndo Prisca kushangaa kuona nimeagiza JD.

“Insider na wewe unatumiaga vitu vikali”?

“Yeah. Sounds like na wewe ni mtumiaji ila unapretend”

“Nothing”

Upepo Garden ni sehemu ambayo niligundua inapendwa sana na couples, ni sehemu ambayo watu walikua wakipenzika sana. Pia watu walikua ki-pair pair, na watu walikuwa sio wengi kihivyo, walikua kawaida tu. Muda ulivyozidi kwenda nikaona Prisca ameanza ifakamia JD yangu na alikua anaichanganyia na wine.

Kwenye mida ya 3 kasoro simu ilianza kuita kucheki ni Iryn, sikupokea simu yake. Muda huohuo akapiga tena lakini sikupokea nikasema huyu nitamcheki kesho, maana nimemdanganya akisikia hizi kelele yatakua matatizo.

Jack Daniel (JD) inatabia moja ya kupanda taratibu sana sasa ukiwa sehemu ya beach na upepo haiwez panda kwa haraka ni taratibu. Kwa upande wa Prisca niliona kama kazidiwa, nikampa ishara aje upande wangu. Palepale nilianza kumfyonza chemi za maji yake ya uzima na yeye alikua akitoa ushirikiano.

Nikaona hapa siwezi kuendelea kukaa, nikamnyanyua nikamshika mkono tukaondoka. Tulivyofika parking baada ya kuingia kwenye gari na palepale nikapata wazo nimpeleke Lodge.

Nikawaza pale, twende wapi maana nilikuwa nahisi jinsi JD inavyopanda taratibu, hivyo sikutaka kuendesha gari kwa umbali mrefu sana. Nikakumbuka kuna lodge moja ipo karibu na “Jangwani sea breeze”. Nikawasha gari na kuanza kuondoka, na muda huu Prisca alikua kimya. Tulivyovuka pale mitaa ya Mbezi kwa zena, akaanza kuniuliza;

PRISCA : “Insider tunakwenda wapi?”

MIMI: “unataka nikupeleke kwenu na umelewa hivo?”.

Muda huu nilikua nazungukua ile Round about nakwenda na uelekeo wa Whitesand.

PRISCA : “Insider sijaaga home kama sitarudi home.”

Muda huo tulikua tushavuka Ramada Hotel

MIMI: “Ok nakurudisha acha mimi nikabook room afu nikurudishe home.”

PRISCA : “Tell me exactly huku tunakwenda wapi?”

Prisca muda huu alikua anaoneka kama hajui anachoongea alionekana kulewa sana. Na muda huu tulikua tushawasili kwenye hii Lodge tupo getini.

MIMI: “Hii ni Lodge mimi siwezi rudi home nikiwa hivi, nitalala hapa.”

Mimi baada ya kuingia ndani na kupark gari nikamwaacha ndani na kwenda reception. Nikapata private room safi na nzuri kabisa, nikarudi kwenye gari na nikakaa.

PRISCA : “So wewe utalala hapa?”

MIMI : “Yeah, ngoja nikuwaishe home ukalale mapema before its too late”

Muda huu Prisca alikua ni mtu ambaye ni sitaki-nataka, bhasi sababu nilikua nishamsoma na palepale nikampa mdomo. Bila kuchelewa na yeye akanipa ulimi akazungusha mikono yake kichwani kuonesha anatoa ushirikiano.

Nikatoa mkoba wake nyuma ya gari, nikamshusha na nika lock gari tukaelekea ndani. Muda huu Prisca hakusumbua kabisa.

“Na usiku uliisha kihivyo sina haja ya kuandika humu ndani sote ni watu wazima.”

Niliamka asubuhi ilikua saa3 kucheki simu nakutana ma missed call ya Iryn tena. Nikampigia simu chap na akapokea simu yangu.

IRYN: “Hi, Insider hupokei simu zangu kwanini?”

MIMI: “Sorry, jana nilisahau simu kwenye gari wakati niko hospital na nilitoka late sana pale Hospital, nikaplan nikupigie simu asubuhi, hapa ndo naamka now.”

IRYN : “Ok mamdogo anaendeleaje? Hata jana nilikupigia simu, nifahamu kinachoendelea.”

MIMI : “Afya yake sio mbaya sana kwa sasa hata leo ataweza ruhusiwa. Nataka kujiandaa ili niende Hospital.”

IRYN : “Ok kama utahitaji msaada wangu nambie nitakuja kukupa kampani.”

MIMI : “Don’t be. Thank you” [emoji3513]

Muda huu Prisca alikua kalala maana kazi ya usiku ilikua ya kibabe sana, nilipiga simu reception na kuomba tuletewe soup.

Nilimuamsha Prisca akaenda washroom kujiweka sawa. Baada ya nusu saa soup ikawa imefika tayari, baada ya hapo nikaenda kuoga. Lakini nilikua nimechoka sana, nikasema hapa leo nitatoka jioni.

Kazi na Prisca iliendelea karibu siku nzima maana huwezi kukaaa na mrembo kama yule kitandani ukiwa unamwaangalia tu.

Ilivyofika saa 11 jioni mimi nilitoka pale na yeye alikua kitandani, nikamwaga nakwenda kwa mamdogo wangu na miadi naye. Yeye alisema atarudi home badae, nikamwachia nauli ya Uber elfu 10, maana kutoka pale mpka kwao nauli isingezidi 3,000 kwa Uber.

Nilitoka pale reception dada alikua ananiangalia huku atabasamu, nikamlipa pesa yake. Ilibidi nilipe pesa ya siku nzima tu si mnajua sheria za lodge, kutoka ni saa4 asubuhi baada ya hapo itakulazimu kulipia siku tena.

Nikatoka hapo mimi huyo uelekeo ulikua ni Kijitonyama kwa Iryn. Wakati niko njian nilijiona kama nimetoa mzigo na hasira zimeisha nikasema acha nifikiri namna ya kudeal na mama J wangu.

Upande mwingine nilikua nakosa maamuzi juu ya Prisca, kuna Roho ilikua inanambia nimfanye awe mchepuko na nyingine ilikua inasema nimpige chini. Lakini nikikumbuka ule utamu wake nilikua niko dilemma kama ni mzani ulikua una balansi 50-50.


Jioni mapema sana nilikua nimeshawasili pale kwa Iryn hata simu sikumpigia. Sababu nilikua nimeshakua mwenyeji nilikua nafungua geti na kupark gari. Nilifungua mlango nikakuta umefungwa, nikagonga. Pembeni alikuwepo jirani yule dada, huyu jiran na Iryn ni wanafatiana kwani inaanza apartment ya Iryn then inakuja ya dada.

Nilisogea pale kumsalimia Jiran na muda huo alikua anapukuta viatu vyake vilikua vingi amevimwaga pale kibarazani kwake.

“Jirani mambo nakuona upo busy sana nimeamua nije nikusaidie kidogo”

“Poa tu, mmh wewe utaweza?”

“Wewe unanionaje kwani?, hayo mambo madogo siwezi kushindwa kabisa”

“Hahahaa sawa nikichoka ntakupa kitambaa unisaidie, naona ndo unarudi kutoka kwenye mishemishe. Jana sijakuona kabisa nikamwona bebe anaondoka alone”.

Muda huo Iryn alikua katoka tayari sasa akawa amesimama kwenye kibaraza ananiangalia, Iryn alikua hamwoni Jiran sababu alikua ndani ya kibaraza. Wakati Iryn amesimama kibarazani mimi nilimwona toka anafika pale ila nilijifanya kama sijamwona, nayeye akachukua kijiwe akanitupia.

“Hahahaa Jiran umenishinda tabia sasa acha mimi nikawasalimie huko ndani”

“Wahi baba najua unakesi za kujibu huko”

Nilifika pale kwa Iryn nika m-hug nikamwambia I missed you, sorry jana sikuweza kutokea.

IRYN : “Nakuona ulikua busy na jiran, bila kukushtua sidhani hata ungekumbuka kuingia humu ndani.”

MIMI : “Hamna nimefungua mlango nikakuta umefungwa nikasema nimsalimie Jiran alikua yuko kibarazani.”

IRYN: “Insider mara hii mmezoeana na mnacheka kama watu mnaojuana kitambo.”

MIMI: “Si unajua mimi ni Uber, kumfanya mtu kucheka ni kawaida tu, anyway alikua anasema jana hajaniona nikamwambia nilitekwa ndo akaanza kucheka”

IRYN : “Mmmh mmmh ……”

MIMI: “Acha wivu bhana”

Muda huo tulikua seblen tayari na pale mezani palikua na bahasha ya kaki yenye nembo ya KFC.

MIMI : “Naona leo umefanya delivery mapema”

IRYN : “Sijala mchana ujue”

MIMI : “Si hupendi kuingia jikoni ndomana, natamani hizi KFC zifungwe tuone utakula wapi.”

IRYN: “Unafikiri siwezi kuingia jikoni? Unanidharau sana, kesho utanipeleka sokoni nikanunue vitu.”

MIMI : “Fanya vitu kwa ajili yako na sio mimi, hata hivyo mimi nakuenjoy tu. Binafsi hata mimi sipendi kupika ni kupoteza muda”

IRYN : “Toka asubuhi tuongee hujaniambia kinachoendelea kuhusu mamdogo.”

MIMI : “Mamdogo yuko salama kwa sasa”

IRYN : “Naenda kuoga maana leo hatuna mambo mengi ni Hyatt na Johari”

Muda huo ameenda kuoga nilikua namfungia “Home theatre” ya JBL alikuaga ameinunua muda mrefu ila alikua hajaifunga. Muda ule nikaconnect kwenye Tv na kuset zile Bars nikafungulia mziki kwa mbali, hapo ndo nilikuja kujua JBL ni balaa sana.

19:30 ndo tulitoka pale home kuelekea mjini sasa wakati tunatoka jiran alikua pale nje,

JIRAN : “Naona mnatoka mmependeza sana”

IRYN : “Jiran kuna sehem tunakwenda mara moja.”

JIRAN : “Muwe mnanichukua na mimi jamani siku moja moja”

IRYN : “Kweli itabidi tutoke siku kama majirani, tutaorganise hili.”

Wakati Iryn anaongea na Jiran mimi nilikua kimya sikutaka hata kuchangia neno.

Licha ya Iryn kuwa na pesa lakini yeye peke yake alikua hana gari mle ndani na sikujua kwanini alikua hana mpango na gari. Jiran zake tukianza na dada alikua na Harrier “Tako la nyani”, yule jamaa alikua na Subaru Forester. Pia Iryn alikua sio mtu wa kujionyesha alikua anaishi maisha yake afu ya kawaida tu.

Tuliwasili pale Johari Cortana Hotel kwenye saa2 usiku, kutokana na sheria za pale kuwa kali ilibidi nikakae pale reception.

Muda huo nikasema acha nimpigie simu mama J nimsalimie lakini hakupokea simu zangu, nikaamua kupotezea. Iryn alitumia 2hrs pale tukatoka tukaenda Hyatt.

Tulivyopark gari pale Hyatt, Iryn akanambia twende level 8 ukanisubiri pale navyotoka nitakupitia, kuhusu bill usijali. Mimi nikaenda pale Level 8 nikaagiza cocktail. Sasa muda huo nilikua nikiwazoom warembo mbalimbali walokuwa wakiingia na kutoka pale kwenye restaurant.

Jamani bongo warembo wapo ni vile hatuna hela tu, warembo walokua wanaingia pale Hyatt na wazungu ni balaa sana. Pale ndo unakutana na wale malaya classic ni hatari sana. Licha ya kuwazoom warembo wote ila bado sikuona wa kumfunika Iryn. Iryn alikua ni kisu jamani sio namsifia alikua kabarikiwa inshort asee.

Iryn alikuja pale kwa Restaurant akiwa na Mkorea, akanitambulisha kwa Mkorea kama dereva wake. Iryn naye ali order seafood nakumbuka ile siku, baada ya muda tukaondoka kurudi kulala.

Wakati tuko njiani tulikua tunapiga story:

IRYN: “Insider kesho asubuhi uje mapema bhasi.”

MIMI : “Usijali kesho nikitoka church tu nakuja Chapu.”

IRYN : “Kumbe unakwendaga church hongera sana,”

MIMI: “Unafikiri mimi ni mpagani kama wewe?”

IRYN : “Ndomana sijakosea kukuita Gentleman. Insider, Do you have a girlfriend?. Anyway bhasi”

MIMI : “Mbona kama hujiamini? huku namwangalia usoni.”

IRYN : “Insider bhana embu niache. Sipendi ujue.”

Muda huo tulikua tumefika kwake nikamdrop na mimi nikarudi kulala. Wakati niko njiani nikaplan kesho nitamsaprise Iryn.

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
 
Kazi Nzuuuurii Sana .. Mpige na IRYN
Prisca Kwisha Habari yake.
Wanaume wa kazi tuseme unakuja kuja.
 
Oyaaaaa, unajua Hadi unajua Tena, art yako katika kuandika Ni deadline mnyamwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…