Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Episode za sasa nawapa ndefu sana lakini bado watu wanalalamika [emoji1544][emoji1544].

Enjoy fans, tukutane EP 68, iko jikoni
Hakika ni ndefu na elaboration yake iko kwa kina kwa hapo mwamba hatukudai tukutane ep 68 tuteguliwe kitendawili cha watu wawili waliopata ajali.
 
Insider anasema hatamani mama j arudi at the same time anamwambia iry hawezi kumwacha mama j[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] ila wanaume hapana kwakwelii siwalewi mnataka nn kwenye haya maisha mkiambiwa mchague moja bado hamtaki mnataka vyote

na unakuaje kwenye mahusino na mtu unajua kabisa ana mtu wake?? na anampenda na hawez kumwacha kwasababu yako hata iwaje???[emoji119] nikiwaz tu mupenzi ana mupenzi wake naumia hayaa na ndo niwe namjua na huyo mupenzi wake si ntazimia mm jamani[emoji2356]
 
Portfolio diversification, sharing is caring
 
Tuseme hujawahi kucheat?
 
Utabiri wangu unaenda kutimia, Iryn will die, hauwezi ukaandika story ya kumkumbuka mtu ambaye bado yupo hai.

Baada ya Iryn kufa, pasi anapewa Mary. Kwahiyo hadi hapa story ishaisha, tunataka tujue TU Mary atailiwa vipi, Iryn tushajua alivyokufa
 
Melia nilikaa siku tatu Kwa nyakati tofauti tofauti niseme tu wale jamaa wanajua wanachokifanya, kuanzia mazingira, wahudumu, vyakula na vyumba vyao, wako vizuri sana.

Bahati mbaya sana Mara zote hizo nilikua peke yangu bila mwenza.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…