muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha kadhaa za Melia Hotel [emoji12], chumba tu waliteketeza kama 3.3 millions [emoji4]View attachment 2786738View attachment 2786739View attachment 2786740View attachment 2786741View attachment 2786742View attachment 2786743View attachment 2786744View attachment 2786745View attachment 2786748View attachment 2786749View attachment 2786750View attachment 2786752
Hongera sana mkuu kwa kutuwakilisha vyema kiumeni [emoji1][emoji1][emoji1]Mzee upo vizuri sana [emoji1544], naiona Jetty Bar & Restaurant [emoji91]
Kwenye hizo swimming 2 zilizojitenga zenye miamvuli ya blue, swimming ya upande wa kulia tuliacha historia nzuri sana hapo[emoji23]
Asante mkuu kwa kuniita kwa sauti.... maana kuna mijitu humu hii wanafanya chakula!.... Wachoyo kukukaribisha hadi washibe kwanza!Antonnia ,JITU BANDIA ,Nuhu39 ,Missy Gf ,Nourhan ,Lovelovie,DR SANTOS ,Mama Edina
Episode nzito iliyoshiba ya 67 iko on air welcome and enjoy
Maisha yanabadilikakutoka kukaa kwa mjomba, unaosha choo, kufagia uwanja, kumwagia maua, kulisha mbwa mpaka kulala bungalow sea view malia hotel, maisha ni kitendawili
Hakika ni ndefu na elaboration yake iko kwa kina kwa hapo mwamba hatukudai tukutane ep 68 tuteguliwe kitendawili cha watu wawili waliopata ajali.Episode za sasa nawapa ndefu sana lakini bado watu wanalalamika [emoji1544][emoji1544].
Enjoy fans, tukutane EP 68, iko jikoni
hakika ukisikia maisha kubadilika positively 180 degree ndo hukuMaisha yanabadilika
Asante Mkuu kwa kunialert, huku kwa INSIDER nipo nakosaje I see. Ila nilishia 65. Ngoja nianze kula chuma kingineBendera ya Bati njoo huku, ila sisi tupo episod ya 67, bado episod 3 story iishe.
kutoka kukaa kwa mjomba, unaosha choo, kufagia uwanja, kumwagia maua, kulisha mbwa mpaka kulala bungalow sea view malia hotel, maisha ni kitendawili
Shindwa....toka Pepo mbayaIRYN afe tu tukose wote mxiuuu.
Portfolio diversification, sharing is caringInsider anasema hatamani mama j arudi at the same time anamwambia iry hawezi kumwacha mama j[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] ila wanaume hapana kwakwelii siwalewi mnataka nn kwenye haya maisha mkiambiwa mchague moja bado hamtaki mnataka vyote
na unakuaje kwenye mahusino na mtu unajua kabisa ana mtu wake?? na anampenda na hawez kumwacha kwasababu yako hata iwaje???[emoji119] nikiwaz tu mupenzi ana mupenzi wake naumia hayaa na ndo niwe namjua na huyo mupenzi wake si ntazimia mm jamani[emoji2356]