Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

"Hapa ndo nikajua kumbe nilikua nimewekewa mtego kama ningekua natabia za kifisi kama wale wazee wa kula Kimasihara bhasi kibarua kingeota nyasi."
Hapo team rikiboy ishakuweka katika namna ya kukupa maua yako yani wapo kikaoni lkn lengo kuu bado ngoja waendelee kukutazama vizuri kuliko mwanzo.

Team DeepPond badae watakuja kusema neno kuhusu prisca kama ingefaa kuwa mchepuko au ulizingua

Watu wa kiroho wanajua kabisa ulivyo mla iryn ndy mwisho wa kupata pesa mana ni jaribu lazima ufunge zipo hata kama mna vesha mkiwa wote.

Ngoja nimtag huyu kamanda hapa mana simuoni.
Analyse
 
Mkuu IRYN ni mrefu au mfupi
 
Mzee umemla mtoto wa watu umekesha naye na umeshinda naye siku nzima na bado ukampa Afu 10. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaa ni bahili sana, nashangaa mpaka sasa dada zetu JF hawajasema neno
Bora umesema [emoji28]

Nilitaka kusema Insider mahela yote unayotengeneza jamani hata kama ni hela ya Uber ndio umpige na elfu 10 jamani? Halafu ulisema binti mzuri wa kishua, hata hela ya sabuni mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…