Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Namshauri aende kwa season kila season aje na hbr na update za wahusika wote iwe Kama "isidingo the need"
Itakuwa vzr Zaid

Kwa Sasa atulie Hadi mwezi wa sita mwakani 2024 alete mrejesho ya maendeleo ya wahusika wote

Sawa bwana INSIDER MAN
 
Mlinde kwa cheti cha ndoa.
Tena sio cheti km cheti tu,wasije kujipeleka Bomani kwa ndoa ya kiserikali ati ili wapate cheti,nashauri wamalizane na Mungu kwa kufunga ndoa kwa misingi ya imani zao.
 
EXTRA EPISODE-05
BY INSIDER MAN

I LOVING MEMORY OF MR. PAMA
[emoji2731]

Mimi na marehemu Pama tulikuwa na moments nyingi sana unforgettable na mzee alitokea kunipenda na kunikubali sana. Sometimes nikiingia SAMAKISAMAKI huwa namkumbuka sana mzee wangu, mzee alikuwa na Roho nzuri sana na nitaendelea kumuishi daima.

Mzee Pama alitokea kunikubali na kunipenda kutokana na uaminifu niliokuwa nauonesha kwake ipo hivi,

31/12/2021 nilimpeleka Mzee na Jane Bagamoyo na walienda kwaajili ya starehe zao na baada ya mwaka mpya nilikwenda kuwafata, walitumia siku 2 kule Bagamoyo (REF: EPISODE 06)

Baada ya kurudi kutoka Bagamoyo wiki hiihii ilikuwa ni weekend siku ya ijumaa Mzee Pama alisafiri kwenda abroad na mimi ndo nilimpeleka Airport.

February Mzee alirudi kutoka nje na kabla hajarudi alinipa taarifa kwa whatsapp nikampokee Airport na ataingia jumatano usiku sana na mimi ndo anayeniamini, na kuhusu masuala ya pesa alisema niondoe shaka.

Wakati Mzee ananipa taarifa ilikuwa ni Jumanne sasa ile kesho yake ambayo ni jumatano ule mchana mzee alinitumia ujumbe na akanambia anatarajia kuingia saa 6 usiku hivyo niwe around na mimi nilimwambia haina shida nitakuwa around muda huo.

Hii siku nilipiga kazi mpaka usiku na ilivyofika saa 4 usiku nilikwenda JNIA kumpokea Mzee na niliwahi sana kufika maeneo yale na nilitoka kwa gari nikaenda ndani Arrival side nikachili, kwa upande wangu nilikuwa na usingizi sana hivyo nilikuwa nasinzia kwenye mabenchi mle ndani.

Saa 6 baada ya kufika hakukuwa na sign yoyote ya kuwasili na nikakumbuka Mzee alisema anakuja na Qatar Airways acha nifatilie ndege kama imefika au laah, lakini niliambiwa itachelewa kuwasili JNIA mpaka saa 8 usiku. Hizi taarifa zilininyong’onyeza sana kwakweli na niliendelea kubuy time na niliamua kutoka pale nje kabisa nikakaa kwenye kiukuta.

Mzee aliwasili saa 8 usiku na alitoka akiwa ameshika kibaiskeli kikiwa na mabag na mimi baada ya kumuona nilimsogelea nikampokea kibaiskeli na tukasalimiana pale na tukaondoka kwenda parking. Mimi nilifungua boneti nikaweka mabag na Mzee akanambia tunakwenda Serena Hotel kwani mchepuko wake (Jane) uko pale unamsubiri.

Mzee alikaa siti za nyuma na mimi nikawasha gari tukaanza safari ya kwenda Serena hotel, hii siku hatukuwa na story sana maana Mzee alionesha kuchoka sana na mimi sikutaka kumsumbua, hata wakati tunafika Serena pale alikuwa bado kalala na nilifanya kumuamsha.

Nilikuwa wakwanza kushuka kwa gari na mhudumu alikuwa kasogea kutupokea na nilianza kutoa mabag ya kule nyuma na baada ya kumaliza nilifunga butt. Mzee naye alitoka na akanipa $100 alisema hana TZS hivyo nitafanya ku-exchange mwenyewe na tukaagana pale, lakini alisema anatanijulisha ili nikamchukue.

Mimi nilirudi home kulala maana ilikuwa ni usiku sana pia nilikuwa na usingizi na nilivyowasili home niliingia ndani nikalala.

Asubuhi nilichelewa kuamka na ilikuwa kamaa mida ya saa 5 na nikasema acha nisafishe gari ili niondoke kwenda mzigoni. Wakati natoa kapeti za gari nilianza na za mbele kwanza na wakati natoa za nyuma niliiona briefcase [emoji161] ipo kwa chini kama imeanguka, niliichukua na nikaanza kuifungua na uzuri haikuwa ile ya kupachika tu haina code.

Baada ya kufungua si nikaona burungutu za pesa na zilikuwa ni noti za Euro €100. Nilitetemeka pale nikajisemea “Mungu wangu” mbona kama zali hili maana sikutegemea kama ningekuta hela nyingi mle kwa bag. Palepale nikasema hili ni bag la Pama na hii ni trap haiwezekani mtu asahau bag lenye pesa kama hili na pembeni kulikuwa na bahasha ambayo sikutaka hata kuigusa.

Niliwaza hizi pesa ni nyingi naweza kukimbia na familia yangu lakini pia nikawaza hata nikikimbia na hizi pesa nitaishia wapi?, niliwaza Mzee Pama sio mtu mdogo kunipata ni sekunde na palepale niliamua kumpigia simu lakini ikawa haipatikani.

Niliingia kuoga na kujiandaa na baada ya kumaliza nilimpigia tena Mzee simu lakini alikuwa hapatikani na nikajisemea hapa inabidi niende hotelini kuonana naye, maana nilikuwa na bomu hata mimi niliogopa nisije kuvamiwa ikawa msala.

Wakati niko mataa ya mwenge Mzee simu yake ilikuwa hewani na baada ya kumpigia alipokea na tukaanza maongezi

“Mzee shikamoo pole na uchovu.”

“Ahsante sana kijana safari ilikuwa ndefu sana.”

“Sasa Mzee kuna bag utakuwa ulisahau kwenye gari yangu?”

“Hapana maana nakumbuka tulitoa kila kitu.”


Nikabaki najiuliza mbona mzee anakataa hili bag litakuwa la nani?, nikakumbuka kuna baba nilimpakia huenda ni lake lakini nikawa bado namashaka maana kama ni lake angekuwa alinipigia simu toka muda sana kutoa taarifa.

Baada ya dakika 3 Mzee alipiga simu na akanambia halioni bag la brown na lina nyalaka zake tena za muhimu sana, na mimi nikamwambia bag lake ninalo na niko njiani namplekea. Kwa upande wake Mzee alifurahi sana na akanambia nikifika niende moja kwa moja restaurant niagize na chakula atanikuta hapo.

Baada ya kuwasili pale Serena nilipark gari vizuri nikampa taarifa Mzee na nilikwenda moja kwa moja mpaka restaurant nikaagiza chakula maana ilikuwa saa 7 mchana tayari.

Baada ya dakika 20 Mzee alitoka na alinikuta napata msosi pale na tulianza maongezi, kubwa alifurahi sana kwa uaminifu wangu na hakutegemea kama ningefanya kitendo cha kiungwana kama kile.

“Kijana kwakweli sijategemea kama una uaminifu mkubwa wa namna hii, licha ya kutopatikana kwa simu lakini uliamua uje kuniuliza, kwa hili niseme kuanzia leo wewe utakuwa kijana wangu. Nilikuwa sina kumbukumbu kabisa kama nimesahu bag kwa gari, nilikuwa nimechoka sana jana.”

Mzee alinambia zile pesa jumla zilikuwa ni zaidi ya Euro €150,000 na mle ndani kuna madini ya almas na dhahabu so kama ningekimbia na bag ningekuwa bilionea. Licha ya hivyo bado kulikuwa na contracts mbalimbali za biashara afu confidential na sensitive sana.

Mzee alinambia nimtumie Account yangu ya bank ili anitumie Ahsante yake na mimi nilimkatalia, lakini alinisisitiza sana nifanye hivyo na nilimtumia Account number yangu.

Tuliendelea kupiga story na Mzee kwa muda mrefu na alinambia yuko na Jane pale hotelini na nilimuaga mimi nikaondoka nikaendelea na mihangaiko yangu.

Toka hili tukio litokee Mzee alikuwa rafiki yangu sana na upendo wake uliongezeka sana kwangu na bado alikuwa ananichukulia mimi kama kijana wake. Ndomana alianza kunitumia kwenye masuala ya ujenzi na mengine mengi ambayo sikutaka kuyaandika, na baada ya kusimamia nyumba Mzee alianza kunipa siri zake taratibu lakini haikuchukua muda akafariki.

Mzee alinipa zawadi ya pesa nyingi tu na ndo zilizonisaidia nikaanza na ujenzi Dodoma. Pesa ya mzee ndo ilinipa nguvu ya kuanza ujenzi maana sikuona sehemu ya kuipeleka ile pesa zaidi ya kufanya ujenzi.

Mzee Pama nitaendelea kumkumbuka sana kwenye maisha yangu naamini ndani ya miaka 10 nitakuwa Billionaire hapa Tanzania, Mzee alikuwa na pesa chafu na alinipa ideas nyingi za kufanikiwa na kuwa Tajiri hapa Duniani hizi ideas zitabaki kuwa siri yangu mpaka nizikamilishe. Naamini nitakuwa billionaire na nitamuenzi kwa hili. [emoji120]

R.I.P MR. PAMA, Ipo siku tutakutana tena.

Pray everyday not just when you in need of something. [emoji3590] [emoji1659]
 
Na asipo mlinda kwa cheti cha ndoa ataibiwa hata kama kazaa naye.
Hio sio Sababu hata kwa cheti watu wakiamua kuiba wanaiba ni fitna tu ya pesa mke anaamza visa mara mahakamani uwongo kibao inatoka talaka nilipo amlinde kwa cheti cha ndoa Incase akitangulia mbele za haki basi Mama J anakuwa Hana shida sana kwenye mirathi watu hawachelewi kufukuza mjane kwenye nyumba wakamkana ila cheti mtu anapeleka tu mahakamani anapata haki bila shida kuliko kukaa kihawala kwa ndoa ya dhania lazima upeleke ushahidi wa kuishi pamoja ila cheti kinajielezea.
 
Duh... Nadhan maamuzi yeyote ambayo binadamu tunahisi tukifanya tunakuwa na aman basi yanakuwa na mwisho mwema na baraka tele.Hilo ni uhakika na halina mashaka kabisa.
 
Inshallah namuomba الله سبحانه وتعالى akubariki akulinde na akuongoze.
 
Hii ndo episode tuliyokuwa tunaisubiri, hongera kwa kumla Irene, nilikuwa nasubiri kusikia hiyo K yake kama ni tamu kiasi gani, maana nasikia mademu wazuri K zao siyo tamu.

Yaani umesimulia kumla Irene lakini cha ajabu hadi mimi nikawa nasikia utamu wa Irene.
 
Alisema kakojoa kabla hajaingiza dudu kwa Irene, lakini aliendelea kumla sasa sijui ilikuwaje nahuku mtu akikojoa itabidi dudu ilale halafu ndo aendelee baadae kidogo dudu ikisimama, unless kama una ukame wa muda mrefu ndo utaweza utaunganisha bao.
 
Ambao hatuna magari tupo wengi tu humu ndani kuliko wenye magari, sema tu watu humu ni waongo mno, kila mtu humu anajifanya ana pesa kumbe hatuna lolote.
Hujataka tu na wewe kuwa na gari, humu hatukubaliani na hili yani kuwe na member humu halafu hana gari!!! Wakati wengine tuna magari zaidi ya mawili, mademu wa kali na tunakula mbususu wastani wa masaa mawili bila kushuka kifuani mpka mbususu inatukumbusha enzi za Ulindi na Ulimbombo.
Wote tunaishi Masaki na Mbezi ila ukileta stori za uswahilini tunajua kila kitu kuanzia stori za kina Sele mpaka Mwajuma ndala ndefu
 
Hahahahahaha well said Well said
 
Seems like.....Irene is Dead!

Alijiua!....let's try connecting dots....
You can't be serious!

Juzi hapa huyu insider katoka kulipia BIMA YA AFYA ya watoto yatima ambao huyo Irine anawafadhili. Na wewe unaconnect dot za kuwa ashafariki. And you call yourself a dot connector!!! SMH
 
Alisema kakojoa kabla hajaingiza dudu kwa Irene, lakini aliendelea kumla sasa sijui ilikuwaje nahuku mtu akikojoa itabidi dudu ilale halafu ndo aendelee baadae kidogo dudu ikisimama, unless kama una ukame wa muda mrefu ndo utaweza utaunganisha bao.
Sio lazima ilale boss wapo ambao wanaunganisha. Inategemea unakula vyakula gani. Unaweza piga goli hata 3 na isilale ila ikilala kuamka ni baada ya saa 1 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…