Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Sio lazima ilale jombaa!Alisema kakojoa kabla hajaingiza dudu kwa Irene, lakini aliendelea kumla sasa sijui ilikuwaje nahuku mtu akikojoa itabidi dudu ilale halafu ndo aendelee baadae kidogo dudu ikisimama, unless kama una ukame wa muda mrefu ndo utaweza utaunganisha bao.
Ukiwa na ukame ndo unaungaSio lazima ilale boss wapo ambao wanaunganisha. Inategemea unakula vyakula gani. Unaweza piga goli hata 3 na isilale ila ikilala kuamka ni baada ya saa 1 na kuendelea.
Lakini kisayansi baada ya mtu kukojoa, damu zinapungua inalala, Kisha badae kidogo unasimama tena.Ukiwa na ukame ndo unaunga
Sio lazima uwe na ukame. Tena hapo ndio unawezaenda nusu dakika mbili ukawa hoi. Kuna vitu ukiweza kufanya unaunga tu mpaka utakapoamua mwenyewe kwamba sasa napiga ya mwishoUkiwa na ukame ndo unaunga
Matukio kama hayo ni ya kuzima simu za wote wawili, sipendagi kero mie.Mimi nilikua nasoma huku nasema simu isije kuita bure ikaharibu mambo nyambaf😂😂😂😂😂
Mh, vitu gani hivyo, maana mimi mpaka niwe na ukame.Sio lazima uwe na ukame. Tena hapo ndio unawezaenda nusu dakika mbili ukawa uka hoi. Kuna vitu ukiweza kufanya unaunga tu mpaka utakapoamua mwenyewe kwamba sasa napiga ya mwisho
Kwa wale waliokuwa wanatumia sana tiba asilia kujikinga na Covid wanaelewa mambo yalikuwaje on bed baada ya matumizi ya mimea ile. Jaribu kutumia hii remedy for one week na nusu saa before sex, juice ya bit root + Ndizi mbivu+ tangawizi+ celery stalk.Mh, vitu gani hivyo, maana mimi mpaka niwe na ukame.
Ok ahsante.Kwa wale waliokuwa wanatumia sana tiba asilia kujikinga na Covid wanaelewa mambo yalikuwaje on bed baada ya matumizi ya mimea ile. Jaribu kutumia hii remedy for one week na nusu saa before sex, juice ya bit root + Ndizi mbivu+ tangawizi+ celery stalk.
Kama umeoa hakikisha shemeji hakosi kuweka ndizi wakati wa chakula cha usiku. Nakuambia ukienda kupiga kile chakula kingine cha usiku mambo yatakuwa moto.
Jambo la muhimu hakikisha unakula vyakula vinavyochochea kuzalishwa kwa hormone ya testosterone kwa wingi.
Fanya mazoezi yanayohusisha lower belly, pelvic, and hips(Yoga exercises)
Na mengine mengi
...na utayumba sana Bob, naona tunapoelekea Mtunzi anajipakulia minyama ya uaminifu 'eti Mzee amesahau begi lina Midola pamoja na vito, this can't be serious by anyhow...Jamaa unatuyumbisha na vitu ambayo hukupanga kuviweka hadharani ilimradi tuendelee kuwa mateka wako humu.
Story inamhusu Iryn sio Pama,tafadhali malizia story ya Iryn kwanza halafu hizi nyingine utakuwa unatuwekea kama ziada tu.
Wabongo Muda wote mnawaza kupigwa pesa tu....na utayumba sana Bob, naona tunapoelekea Mtunzi anajipakulia minyama ya uaminifu 'eti Mzee amesahau begi lina Midola pamoja na vito, this can't be serious by anyhow...
fuentte kwa taarifa yako tukitoka hapo tunakupa Extra Episodes za kutosha sana ambazo ni:-
1. Mchepuko wa Pama ulivyojifungua Mtoto wa Kiume.
2.Halafu hujakaa sawa tunatupia nyingine jinsi Mzee Juma alivyolipa Ada ya Masters.
3.Kabla hujatulia tunarudi na Ka-episode ka Jinsi Irene alipokosea kuandika Barua, haikuwa ya Jamaa ila ilikuwa inaenda kwa Sumaiya maana amezidi kumfuata fuata Mwandishi.
4.Hujakaa sawa tunatupia Ka-episode ka Jinsi Nyumba ya Dodoma ilivyosumbua.
5.Tunamaliza na Episode ya mwisho Irene mjamzito, Sumaiya Mjamzito pamoja na Mama J mjamzito...
Unakuja Stukha hizo extra Episode zimetufikisha Dec 31...
KUJUA WHAT NEXT TUKUTANE SEASON 2....HAPO JANUARY 2024...
Nb. USHAURI KWA MTUNZI NI VYEMA ATENGENEZE WHATSAPP GROUP AANZE KUOKOTA MAOKOTO.
USIDANGANYIKE, In Economics kuna eneo nilisomaga miaka zaidi ya 17 iliyopita nikiwa Advance inasema kuwa Human Wants/needs are always unlimited, hapa naomba uelewe one of essential want ya Human being ni MONEY.Wabongo Muda wote mnawaza kupigwa pesa tu.
Mtunzi kasema hana shida ya pesa na story kaileta umu kwa hiari yake mwenyewe
Lakini wapo watu bado wanataka walipie pesa ili wapate story
Story imeanzia umu na itaishia umu umu no wasup group
USIDANGANYIKE, In Economics kuna eneo nilisomaga miaka zaidi ya 17 iliyopita nikiwa Advance inasema kuwa Human Wants/needs are always unlimited, hapa naomba uelewe one of essential want ya Human being ni MONEY.
Nathibitisha kuwa Mtunzi anayo shida ya pesa ndio maana:-
1.Alipotoa katika ajira yake kwenye Taasisi ya Mapato aliamua kutafuta Pesa kwa kujiajiri
2.Aliamua kufanya Biashara ya Uber ili apate pesa kwa ajiri yake na Familia
3.Ameajiriwa kama Meneja katika Glam. Saloon ili apate pesa
4.Bado anakula maokoto ya Irene
5.Mzee Pama (RIP) inasimuliwa alikuwa anatoa pesa
6.Akaibuka Mzee Juma akiendeleza mrija wa kutoa pesa kwa Mtunzi.
7.Hapo nimemsahau Muhabeshinaye alikuwa anamwaga hela kama Kichaa, kitu cha ajabu kabisa ukikiangalia kwa jicho kali
8.Bado kuna wateja wengine wa rejareja waliokuwa wanatoa nauli hadi TIPs kwa Dereva wetu.
9....still tulikuwa tunaokota pesa za miradi mingine
Hivyo, unaposema Mtunzi hana shida ya pesa sijui una maanisha nini?
Nb. MIMI NIMESHAURI KIROHO SAFI, JAMAA ALIANZA VIZURI TRUE STORY YAKE WHICH WAS GOOD, ILA IN BETWEEN AMEZIDISHA CHUMVI MNO, NA KWA SISI AMBAO NI VIHEREHERE WA KUSOMA STORY NA KUTOA MAONI TUMEONA A LOT OF CHUMVI IN HIS STORY, SO TUMEMSHAURI NEXT TIME AFUATE NYAYO ZA KINA HABIBU ANGA, FORTUNATUS BUYOBE AZIDI KUJIONGEZEA KIPATO, REMEMBER KWA DUNIA YA SASA THERE IS NO FREE LUNCH.
TAKE IT OR LEAVE IT ASIDE.
Naomba u-qoute post ambayo nilisema sifuatilii huu uzi, nitaomba radhi kwa Lamec...Una Arosto sana, wewe ni moja ambao mlisema hamfatilii. Nashangaa kuona bado unauza sura humu ndani.
Dunia ya Biashara Mtandao Mdogo wangu BROKE BOYS, kwa jinsi nilivyosoma huu uzi wa Mwandishi anaweza kuja na Titles zifuatazo na akapata Wasomaji wengi na akapiga pesa vibaya saaana huko WhatsApp kwa kiingilio cha Buku 2 mbili, Tazama hapa chini:-Una Arosto sana, wewe ni moja ambao mlisema hamfatilii. Nashangaa kuona bado unauza sura humu ndani.
Dunia ya Biashara Mtandao Mdogo wangu BROKE BOYS, kwa jinsi nilivyosoma huu uzi wa Mwandishi anaweza kuja na Titles zifuatazo na akapata Wasomaji wengi na akapiga pesa vibaya saaana huko WhatsApp kwa kiingilio cha Buku 2 mbili, Tazama hapa chini:-
1.Safari yangu yenye vitimbwi kutoka Iringa hadi Chuo Kikuu Daslam.
2.Nillipogundua siri na kuanza kuwafyatua mabinti, Siri ya Urijal... usiyoijua. (Male only)
3.Toka Udereva Uber hadi kupata Elimu ya Juu zaidi.
4.Mateso niliyopitia kipindi nachepuka nje ya Ndoa (Based on True story).
5.Binti wa ajabu aliyenipatia fursa za kujipatia Maokoto.
Huo hapo juu ni mfano tu, trust me, TUNAPENDA KUSOMA SOMA STORIES NA AM PRETTY SURE ATA-MAKE A LOT OF CASH.
WATU WANAKULA PESA BOB SI KITOTO.
You've nailed it [emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]. Zaidi kwa sasa tunaambiwa tubashiri the end of the story ili mwandishi aweze kuitwist kuendana na maoni ya wasomaji badala ya uhalisia wa Jambo lenyewe.USIDANGANYIKE, In Economics kuna eneo nilisomaga miaka zaidi ya 17 iliyopita nikiwa Advance inasema kuwa Human Wants/needs are always unlimited, hapa naomba uelewe one of essential want ya Human being ni MONEY.
Nathibitisha kuwa Mtunzi anayo shida ya pesa ndio maana:-
1.Alipotoa katika ajira yake kwenye Taasisi ya Mapato aliamua kutafuta Pesa kwa kujiajiri
2.Aliamua kufanya Biashara ya Uber ili apate pesa kwa ajiri yake na Familia
3.Ameajiriwa kama Meneja katika Glam. Saloon ili apate pesa
4.Bado anakula maokoto ya Irene
5.Mzee Pama (RIP) inasimuliwa alikuwa anatoa pesa
6.Akaibuka Mzee Juma akiendeleza mrija wa kutoa pesa kwa Mtunzi.
7.Hapo nimemsahau Muhabeshinaye alikuwa anamwaga hela kama Kichaa, kitu cha ajabu kabisa ukikiangalia kwa jicho kali
8.Bado kuna wateja wengine wa rejareja waliokuwa wanatoa nauli hadi TIPs kwa Dereva wetu.
9....still tulikuwa tunaokota pesa za miradi mingine
Hivyo, unaposema Mtunzi hana shida ya pesa sijui una maanisha nini?
Nb. MIMI NIMESHAURI KIROHO SAFI, JAMAA ALIANZA VIZURI TRUE STORY YAKE WHICH WAS GOOD, ILA IN BETWEEN AMEZIDISHA CHUMVI MNO, NA KWA SISI AMBAO NI VIHEREHERE WA KUSOMA STORY NA KUTOA MAONI TUMEONA A LOT OF CHUMVI IN HIS STORY, SO TUMEMSHAURI NEXT TIME AFUATE NYAYO ZA KINA HABIBU ANGA, FORTUNATUS BUYOBE AZIDI KUJIONGEZEA KIPATO, REMEMBER KWA DUNIA YA SASA THERE IS NO FREE LUNCH.
TAKE IT OR LEAVE IT ASIDE.