Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

1. Pale upokua unakanusha kuhusu suala la iryn kukubali abebe ujauzito na wakati anaenda chuo kusoma huku hamuelewi mustakabali wenu! Memba fulani simkumbuki alipokuambia kuhusu hilo ni kama uling'aka kana kwamba ni kitu ambacho kwa muda huo hakiwezekani!

Stori ilikuwa inaendelea, asingeweza kukubali maana ingeondoa uhondo na mtiririko wa vitu alivyopanga aandike...
 
Stori ilikuwa inaendelea, asingeweza kukubali maana ingeondoa uhondo na mtiririko wa vitu alivyopanga aandike...
Yeah kumbe Uko makini sana kufatilia hii story!
Nimependa story kuwa unpredictable!! Afadhali ameimaliza anaongezea na steki juu sio kama stivu !

I guess . Bossi lady atazaa mtoto wakike
 
INSIDER MAN
JamiiForums-104483879.jpg

Nimependa sana sehemu ya airport, hasa ulipotabasamu na kupokea simu ya mama Jay. Umeimaliza story kibabe sana hongera mnoooo.

Hii story ilinipa arosto mpaka kuiotea ndoto kabisa.
 
Yeah kumbe Uko makini sana kufatilia hii story!
Nimependa story kuwa unpredictable!! Afadhali ameimaliza anaongezea na steki juu sio kama stivu !

I guess . Bossi lady atazaa mtoto wakike

Aah Steve naye alikuwa na balaah lake kwenye ile stori ya Big...😃
 
Maua yako pokea.. nimeenda Asmah kuelezea na kutulia..

Kila la kheri.. Mola awe nawe.. usije kufungua codes ya chochote.. iishir hapa kwa usalqma wenu wote.

1699124448654.png
 
Yeah kwa ya big aliuaaaaa ila ana viporo vya story mbili hakuzimalizaga ! Ya mwisho avozingua watu walimkandajee🤠🤠!

Nilisoma ya Big tu, hizo nyingine sijasoma...

Wanaokimbia stori zao huwa wanazingua sana...
 
Back
Top Bottom