Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ever since the creation of this universe man was predetermined to be a polygamous creature. That's why we Muslims have option marrying up to four wives 😂. Congratulations man and thanks for the package we got lots to learn from. See you at the 🔝🙏🙏.
 


Mie Kwa zile fimbo zilivyokua zinatembea nikasema asipokamata mimba hapo itabidi tuandamane.

Niungane nawewe kumshukuru kamanda Kwa story nzuri yenye mafunzo mengi na kuburudisha pia.
 


Nakumbuka niliibua hiyo hoja kwamba kama Iryn ameondoka na picha ya Junior, ni dhahir anampenda sana na angetamani apate mtoto na INSIDER MAN nisingeshangaa kabisa kusikia network imekamata.
 
You know nilikuwa nam challenge jamaa na sikutaka watu wajue mwisho utakuwaje, na mmekuwa suprised. [emoji23]

Na ulini challenge kwelikweli ulivyoleta mambo ya chuo na ujauzito ukataka kunitoa kwenye mstari.

Ila niseme tu, ujasiri wa kutokusoma waraka wa Iryn Kwa INSIDER MAN ni WA kiwango kingine, wengi wetu tungetaka kujua kilichoandikwa. Kwa kuonyesha umeiva kwenye mafunzo ukaenda kuichanachana barua mbele yake. Hapo akajua kweli ana baba kijacho jasiri.

Kupiga magoti utwangwe risasi na mtu mwenye hasira napo akajua kumbe na wewe umemzidi kiwango Cha hasira, uko mbele yake.
 
Bold Move.
 
Hao sio waandishi wakali bali ni watu wa copy and paste na ku translate story za mitandaoni. kwa kawaida wana njaa nyingi maana huuza story ambazo hawajatunga wao.

Ukiona wameishia njiani kutoa story basi ujue wamepoteza story waliyo copy 😂

Na hapo ndipo story huishia hapo huku wakiwa wamekula maokoto kutoka kwa members wanyonge wa arosto wenye viherehere vya kuungwa ktk groups huko whatsapp/telegram ambako huungwa kisha hawatumiwi story.
Kuna waandishi wakali mno, ila hawamalizi simulizi, sijui Ni ubize au Ni kitu gani jamani. Ila ninawaombea kheir mpate muda mmalizie stori zenu
 
MWamba kichwa kilifanya kazi fasta ya kupokea kupoza na kuamua liwalo na liwe. Hii ni 🙌🙌
 
Lakini huo wimbo unanipa wasi wasi kama Iryne alishikilia Misimamo yake alipofika S.Africa yamkini alimsahau Mwamba wetu[emoji846][emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…