Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Shikamoo insider umemaliza kwa namna ambayo ya kipekee kama director wa Ki Turuki 😁
 
There should next episode of Mew Born please
 
.
 

Mpaka leo sijui aliandikaga nini mle ndani ila nahisi ilikuwa ni farewell[emoji23]

Akili zangu zilikuwa zinawaza mtoto that time, na mawazo yangu yalikuwa yananiambia Iryn anatoa ile mimba kwa hasira zake za kitoto.
 
Ndugu Insider, hongera kwa hadithi nzuri. Mimi baada ya kusoma na kufuatilia, miliona sentencing fulani fulani mahala fulani.
Mfano:
Kuna episode moja ulieleza kuhusiana na huyu Mama Janeth na mambo ya vita vya Ukraine/Russia. Vita hii ilianza Feb last year..
Na kwenye episode hiyo hiyo wakati unaelezea ukarimu wa wazee wa Kondoa, ukaandika kwamba tayari walishakutumia kuku au mbuzi wa Xmas. Maana yake ulikuwa unaongelea Xmas ya mwaka jana.
Na kwenye episode nyingine ukaelezea kwamba mulikuwa mumeianza wiki ya Nyerere day. Maana yake ni hii ya October ya mwezi uliopita.
Sasa, naomba unifafanulie kwenye hii episode ya mwisho unaposema ni miezi 9 tangu umekutana na Iryn kwa mara kwanza, ni kwamba umekosea au? Maana kwa hesabu na matukio niliyaanisha hapo, yaonesha no zaidi ya miezi 9.
Nipe fununu tafadhali.
 

Nimekutana na Iryn mwakajana january 2022, akaondoka October 2022, toka tukutane na kuondoka ni miezi 9. Na haya matukio ni ya mwakajana.

Mzee alinitumia mbuzi December mwakajana kwaajili ya sikukuu ya xmass. Niliiweka kwenye mabano hivi kuonesha huko mbeleni ukarimu walionionesha wa kunitumia mbuzi.

(Yule babu alipona na anaendelea vizuri na afya yake, na christimas mtendaji alinitumia mbuzi mkubwa kwaajili ya sikukuu.)

Na December hii natarajia kutumiwa mbuzi mwingine wa Xmass.
 
Kichuri haikaguliwi sana...ukikagua sana utahisi unakula mavi ya ng'ombe...Misemo ya wakuria
 
.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…