Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Good man.
umejenga emotional bond kubwa sana kwa irene. Sababu ya kucontrol ufisi tulionao wanaume wote.

navyoona, huyu irene atakuvulia chupi, ila akishajua umeoa, itamuumiza. Baadae ataaccept ambapo aidha ataendelea na yule mfaransa au atakaa kwa muajemi, huku wewe ukiendelea kuwa rafiki Yake mkuu na sometimes mkichepukiana. Nimejaribu kuwaza kitachojiri.

story nzuri.
 
Mazingira ya mke wako.ulishatuweka wazi ni ukali wa mke wako na udadisi ilikuake akuruhusu urudi nyumbani kwako ukiwa umebadilisha Nguo?

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Ila kweli brain ziko tofauti jamani. Mfano hapa unataka ugundue Nini na utakusaidiaje ku improve maisha yako. Let say Ni uwongo ama Ni ukweli what and how you'll benefit. Take as just a story to enjoy,dadisi ishu za muhimu itapendeza like huu mktaba wa bandari
 
Alikua ni Mtanzania, alizaliwa Muhimbili. Mama yake alikua ni Mu ethiopia ila alikua na urai wa Tanzania, kuhusu baba yake alikua ni M-south Africa ila hapa bongo alikua kama investor.
Insider mbona unatumia neno alikuwa! Inamaana kwa sasa hayupo! Inamaana kwa sasa hayupo tz, na siyo investor na pia siyo mtz tena!
 
Mkuu nimekosea tu uandikaji “Ni Mtanzania” kwasababu ni story na matukio ya nyuma ndomana nikatumia hilo neno “Alikuwa”.
Okay hapo sawa maana nimejiuliza maswali hapa inamaana hayupo tena! Au kimetokea nini! Hasa mpaka tutumie alikuwa
Hongera kwa simulizi na uandishi wako mzuri big up bro! Ila kwa prisca unahitaji umakini na unatakiwa kumweliza ukweli wako kabla hujamla tena mara ya pili, hapo utakuwa salama!
 
Acha tuone huko mbele movie iliishaje
 
Back
Top Bottom