Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Leo niko Coco Beach chimbo la INSIDER MAN huku mwisho kabisa, najiliwaza baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani
IMG_4006.jpg
 

Attachments

  • IMG_4006.jpg
    IMG_4006.jpg
    604.6 KB · Views: 38
INSIDER MAN leo nimemuona mchuchu mmoja ni kama ana match profile ya Iryn...

Alikuwa ni msafiri wa ATCL Dom-Dar, mchuchu mmoja hivi rangi ya mtume, ukimtazama kama ni mixer ya mzungu na watu jamii ya Waarabu, Wahabesh au far East Asians...

Kavaa summer dress with batik print, ako na brown sun goggles, mkononi anakokota suitcase ya damu ya mzee...
Mzee wa chuo cha Mipango hapo chuo kitabu chake kina mashairi na tenzi za rohonu kishenzi hasa ngazi ya Masters!!! Mchakamchaka wake si wa kitoto
 
Back
Top Bottom