Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee katishaa sanaa na kaufaidi huu mji sio masikharaa[emoji28].
Maana ruti zake ni kukatia kijitonyama na bagamoyo road upande wa chinii yaani kifupi ruti yake mbovu ni ile ya Mbagala na kule kisarawe[emoji1487]

Kwanza kala sanaa kwa watu huyu jamaaa[emoji23][emoji1487], plus ni mzee wa lunch na dinna za pamoja hop uko na kitambi now.

Afu kapokea sanaa bahasha za kaki yani ela ndogo kupokea ilikua ni ile 300k toka kwa prisca[emoji1487].

Huna bayaa mzee yani kila mtu anakukubalii hadi pepo za kusii[emoji1487], na hajaai kua na customer wa kiume zaidi ya Manuel na Mzee Pama[emoji1487].

Anyways(atakua kachakata sanaa mbususu) za watoto wakali kulikoni alivoandika . Mzee Chukua lori la Maua[emoji254][emoji259]🪷[emoji253][emoji255][emoji1651][emoji257]
Ni hadithi tu yenye mwandishi mzuri anaejua kuutunga UONGO
 
Nitunge UONGO alafu ukusaidie nini mwambieni aweke picha za matukio yote aliyosimulia km ataweka hata picha moja nipigwe ban sana sana ataenda kwa wadau wa airport pale kuwapiga Jambo ambalo hata wewe unaweza kufanya
Hata akiweka picha napo hutaamini
 
Nitunge UONGO alafu ukusaidie nini mwambieni aweke picha za matukio yote aliyosimulia km ataweka hata picha moja nipigwe ban sana sana ataenda kwa wadau wa airport pale kuwapiga Jambo ambalo hata wewe unaweza kufanya

Halazimiki kuweka picha. Mtu yoyote asiyeamini hii stori ale kona. Sidhani kama kuna mtu kalazimishwa kuamini.
 
Niombe radhi kwa kuwa nje ya mada kidogo, nimeona sio mbaya nikiwapa huduma itayotusaidia kua online mda mwingi na kufaidi mambo mengi ya mtandaoni ikiwemo hapa, kwa gharama ndogo sana

KWA WATUMIAJI WA TIGO KUNA BANDO NAFUU SANA(T!G0 P0STPA!D), UKIJIUNGA MIAKA MIWILI MIZIMA UTAKUA UMEOKOA HELA NYING UNAYOTUMIA KWAAJIL YA DATA NA DAKIKA.

UTAKUA UNAPEWA GB&DAKIKA NYINGI KILA TAREHE 1, THEN UNALIPIA HELA SIKU YOYOTE, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO!!

SH 30K GB 35 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI

SH. 40K GB 48 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI.
SH. 60K GB 72 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI.
MALIPO YOTE UNAFANYA DIRECT KWENDA T!G0 HUNITUMII HATA MIA! (mm unanipa NO. yako tuu kwajili ya activation, nikiku activate nalipwa commission na T!G0)

UZURI ZAID NI KUA SAHIVI HUTAWEKWA KWENYE KIKUNDI CHA WATU, UNAKUA PEKE YAKO, SO HUWEZ KUPATA USUMBUFU WOWOTE!

Karibuni sana!!!

NIPIGIE AU NITEXT WHATSAPP KWA : 0717700921
Unatafuta watu wa kuwapiga sio! Wenzako waliishatangulia na tangazo kama lako hapa tukawashtukia
 
Niombe radhi kwa kuwa nje ya mada kidogo, nimeona sio mbaya nikiwapa huduma itayotusaidia kua online mda mwingi na kufaidi mambo mengi ya mtandaoni ikiwemo hapa, kwa gharama ndogo sana

KWA WATUMIAJI WA TIGO KUNA BANDO NAFUU SANA(T!G0 P0STPA!D), UKIJIUNGA MIAKA MIWILI MIZIMA UTAKUA UMEOKOA HELA NYING UNAYOTUMIA KWAAJIL YA DATA NA DAKIKA.

UTAKUA UNAPEWA GB&DAKIKA NYINGI KILA TAREHE 1, THEN UNALIPIA HELA SIKU YOYOTE, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO!!

SH 30K GB 35 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI

SH. 40K GB 48 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI.
SH. 60K GB 72 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI.
MALIPO YOTE UNAFANYA DIRECT KWENDA T!G0 HUNITUMII HATA MIA! (mm unanipa NO. yako tuu kwajili ya activation, nikiku activate nalipwa commission na T!G0)

UZURI ZAID NI KUA SAHIVI HUTAWEKWA KWENYE KIKUNDI CHA WATU, UNAKUA PEKE YAKO, SO HUWEZ KUPATA USUMBUFU WOWOTE!

Karibuni sana!!!

NIPIGIE AU NITEXT WHATSAPP KWA : 0717700921
Ni huduma nzuri

Ila tangu mwenzangu niliesajilia tin namba yake iwe changamoto kulipia nami wakanifungia huduma wakanivuruga nikaona isiwe tabu na line yao nikaitupa
 
Back
Top Bottom