Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nitunge UONGO alafu ukusaidie nini mwambieni aweke picha za matukio yote aliyosimulia km ataweka hata picha moja nipigwe ban sana sana ataenda kwa wadau wa airport pale kuwapiga Jambo ambalo hata wewe unaweza kufanya

Halazimiki kuweka picha. Mtu yoyote asiyeamini hii stori ale kona. Sidhani kama kuna mtu kalazimishwa kuamini.
 
Unatafuta watu wa kuwapiga sio! Wenzako waliishatangulia na tangazo kama lako hapa tukawashtukia
 
Ni huduma nzuri

Ila tangu mwenzangu niliesajilia tin namba yake iwe changamoto kulipia nami wakanifungia huduma wakanivuruga nikaona isiwe tabu na line yao nikaitupa
 
Halazimiki kuweka picha. Mtu yoyote asiyeamini hii stori ale kona. Sidhani kama kuna mtu kalazimishwa kuamini.
Twaibu nikimaanisha kweli kabisa tusimkatishe tamaa mwenzetu ambaye alijitoa ku share experience yake ya maisha ya kupambana.
 
Nitunge UONGO alafu ukusaidie nini mwambieni aweke picha za matukio yote aliyosimulia km ataweka hata picha moja nipigwe ban sana sana ataenda kwa wadau wa airport pale kuwapiga Jambo ambalo hata wewe unaweza kufanya
Empty set.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…