Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hili muvi lilishaisha na kutokea kitambo hicho ni sisi tu ndo hatujui sababu mkuu INSIDER MAN ameamua kutuwekea mtiririko wa matukio ya hadithi yake katika episodes but tuwe wavumilivu kujua nini kilitokea katika muendelezo wa stori inayosimuliwa katika mfumo wa masimulizi ya season ambayo ndani yake kunakuwa na episodes.
 
Kudadisi kwako iyo bandari imekufikisha wapi? Achana na maisha ya watu. Story hii imejaa mafunzo lukiki.. ni vile tu akili yako imejaa kutu
 
Mpaka sasa tuseme tumeshafikia nusu ya Story ya maisha ambayo niliyapitia kwa kipindi kifupi.

Mpaka sasa nimesha mla Prisca, je ni nini hatima yetu? Prisca nitadate naye? Je ataubali kuwa mchepuko?

Na vipi kuhusu dada yake Mary ilikuaje?

Vipi kuhusu Iryn?, mpaka sasa nishafanikiwa kumweka karibu yangu, Iryn anataka anifahamu kiundani kuhusu maisha yangu nknk, je nitamwambia?

Vipi huko mbele itakuaje nilifanikiwa kumla Iryn na kuweka historia ya kutembea na moja ya warembo wazuri?

Vipi kuhusu Muajemi atafanikiwa kumpata Iryn?, maana Muajemi anampenda Iryn seriously.

Vipi kuhusu Mama wawili? ni nani huyu mtu? Hana mume ila ana watoto wa2, shida zake anatolea wapi??.

Vipi kuhusu jamaa yangu Grizz kwa muda mfupi sana ametokea kunikubali nini kitaendelea btn us?

Vipi kuhusu Mama watoto wangu “Mama J”? nini kiliendelea?

Story nitaindika yote na mtapata Epsodes kwa wakati, na itaisha yote siwezi kuishia njiani maana ni matukio yaliyopita tayari.

Maana kuna matukio mengi sana niliyopitia kupitia hii biashara ya Uber. Tukutane kesho mapema jioni.
 

Muajemi anamfukuzia prisca au lryn?
 
Hio kesho mkiu,Acha nilale Sasa. [emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…