Garrincha_10
Member
- Feb 12, 2018
- 21
- 41
Nitatoka out na wewe kesho kama upo tayariInsaida mtoa out wa wadada hahaha kila mdada akikuomba outing we twende tu hujui kukataa? wadada wanakuzoea hadi inakera
Baba junia jifunze kusema hapana🤣🤣🤣Nitatoka out na wewe kesho kama upo tayari
Toka Season 2 ianze nimetoka out mara 2 tu na Dullah. Kuna mazingira kutoka lazima kama lile na Asmah lilikuwa muhimu, hata Dullah lilikuwa muhimu. Mbona husemi kuhusu Mary navyo mchomolea?Baba junia jifunze kusema hapana🤣🤣🤣
Baba junia jifunze kusema hapana🤣🤣🤣
Ungetoka na Mary hata me ningefurahi😎 me nime generalise season zoteToka Season 2 ianze nimetoka out mara 2 tu na Dullah. Kuna mazingira kutoka lazima kama lile na Asmah lilikuwa muhimu, hata Dullah lilikuwa muhimu. Mbona husemi kuhusu Mary navyo mchomolea?
Kwendraa 😎Please confirm ✍🏻
kaka saa ngapi ndugu.Please confirm ✍🏻
Oi nipe namba ya maryToka Season 2 ianze nimetoka out mara 2 tu na Dullah. Kuna mazingira kutoka lazima kama lile na Asmah lilikuwa muhimu, hata Dullah lilikuwa muhimu. Mbona husemi kuhusu Mary navyo mchomolea?
Hukumfatilia TU au ni wale watoto sura haitulii leo mama kafanana nae kesho bibi shangazi mpaka akue anatulia na sura Moja.Kumbe mimi mwanangu hadi anafikia mwaka mmoja ndio niligundua amefanana na mimi
Eid wengi tulijua Alkhamis basi tukapigwa kitu kizito yaani ikabidi tusherekee,binafsi nilipania sana nialike asubuhi wagonge breakfast ya kisomali Beef Suqaar,Sabayaad,Kac Kac,Anjero,Sambusa mchana Beef Biryani,nikaweza tu kupika Biryani watu waka enjoy next time Inshallah nitakukaribisha.Mpak sasa sijapata Invitation. Wana JF ni wachoyo sana 🙌🏿
Haya mambo nayopendaga 😋Eid wengi tulijua Alkhamis basi tukapigwa kitu kizito yaani ikabidi tusherekee,binafsi nilipania sana nialike asubuhi wagonge breakfast ya kisomali Beef Suqaar,Sabayaad,Kac Kac,Anjero,Sambusa mchana Beef Biryani,nikaweza tu kupika Biryani watu waka enjoy next time Inshallah nitakukaribisha.