Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hope uko sawa, ulirecord mazungumzo na Claire, tunasubiri!
 
Nimeifikiria sana hii kauli,

How come you are dating the woman you had sex with? It's just like opening the Fanta and putting it on the table, ready for whenever you want to drink it again.”
Wazee wa kupasha vipolo
 
Mzee una uandishi fulani hivi ambao hauchoshi
 
Iryn is very strategic...taratibu anaingia kwa Mama INSIDER MAN na Mama atamkubali
Mwanamke yeyote anataka umiliki wa mwanaume anayempenda. Na siku zote mchepuko au bi mdogo ndio mwenye wivu wa wazi kuliko aliyemtangulia. Akisema sitamsumbua bi mkubwa wala hatajua ni uongo ipo siku atafanya jambo la kushangaza na hakuna pa kuchomokea
 
hakika,Iryn anampenda sana Insider na next step ni umiliki.Anataka atambulike...what a strateguc move.. hata France sidhani kama ataenda ishi.Seems hawezi kuwa mbali na ntuwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…