Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Pamoja na yooote huyo IRYN wako ni malayer kama malayer wengine wanaoingilia ndoa za watu! Ila kwa vile ni boss wako na ana pesa basi unaona hakuna kitu anaharibu pamoja na kwamba una mke na mtoto, hivi unafikiri mkeo akijua mahusiano yenu yatakuwa the same? Aahhh umbwa kabisa takataka
Punguza makasiriko dada, Insider hana cheti cha ndoa ila anaishi na mwanamke ndani. Bado anaweza kuoa Iryn maamuzi ni yake.
 
Kwa vile we bado ni mtoto huoni cha kupoteza na hujui madhara yanayokuja baada ya wawili waliozaa kutengana na kiasi gani mtoto anaathirika kuoa sio cheti, kwa maisha anayoishi Insider na mama j hiyo ni ndoa..kasome aina za ndoa. Ni sawa anaweza kuoa, unafikiri iryn kwanini ajihesabie kuwa sahihi kuharibu ndoa ya mwanamke mwenzie na sio kina Asmah na prisca?
Ndoa ni cheti dada, wote ni sawa 50-50. Usikute hata wewe hapo ni mchepuko wa mtu ila hujui.
 
Haijawahi tokea, nikufumbue macho enda soma aina za ndoa urudi hapa kama haujalelewa kwenye moja kati ya aina hizo za ndoa....nimelelewa kwenye ndoa ya baba na mama angu nami nalea wanangu kwenye ndoa yangu na mume wangu pole weee
Hizo aina za ndoa nazifahamu lakini haina nguvu kama kumiliki cheti cha Ndoa. Ikitokea Insider kaondoka Duniani mama J atakosa nguvu ya kudai mali. Insider mwenyewe mpaka sasa anaweza kuoa amtakaye na hakuna wa kumzuia.

Hongera kwakulea watoto lakini nakwambia hakuna Mwanaume mwenye demu mmoja hapa Duniani, inauma lakini ndo ukweli huu nakupa.
 
Atadai mali ipi?. Wakati yeye mwenyewe Iryn ndio mali?
 
Pamoja na yooote huyo IRYN wako ni malayer kama malayer wengine wanaoingilia ndoa za watu! Ila kwa vile ni boss wako na ana pesa basi unaona hakuna kitu anaharibu pamoja na kwamba una mke na mtoto, hivi unafikiri mkeo akijua mahusiano yenu yatakuwa the same? Aahhh umbwa kabisa takataka
dyuuuuuu mfano fkil wew ndo iryn alaf umependa ukun wang inakuaje hapo na unajua nna mke na mtoto naushaupenda
 
Back
Top Bottom