Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Punguza makasiriko dada, Insider hana cheti cha ndoa ila anaishi na mwanamke ndani. Bado anaweza kuoa Iryn maamuzi ni yake.Pamoja na yooote huyo IRYN wako ni malayer kama malayer wengine wanaoingilia ndoa za watu! Ila kwa vile ni boss wako na ana pesa basi unaona hakuna kitu anaharibu pamoja na kwamba una mke na mtoto, hivi unafikiri mkeo akijua mahusiano yenu yatakuwa the same? Aahhh umbwa kabisa takataka