INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
-
- #12,881
Nina cheti kutoka British council πππMzee hichi ni kiingereza cha the guardian au new York Times kabisa, uko vizuri Marshall mashallah, ni wahenga tu ndio wataelewa hii lungha kwa kiwango hichi sio wale wa yes no ok
Mkuu huduma za English course, British council zipoje na ada ni shillingi ngp.Nina cheti kutoka British council [emoji23][emoji23][emoji23]
Pia kukaa sana na Iryn na Mama Janeth kumenisaidia sana kwenye suala la ngeli. [emoji1544]
Kila anayesifiwa napita naye...Mwanangu hadi sasahv umewapigia mugarara wangapi!?
Na ww punguzaaKila anayesifiwa napita naye...
Naomba msaada pls π₯Ίπ₯ΊNa ww punguzaa
Msada Wa Nn bossNaomba msaada pls π₯Ίπ₯Ί
Tayari wana mtoto wa kike wa miezi kadhaa alisema... Hujasoma extra episode za season one?Kumbe INSIDER MAN ukiwa na Iryn huwa lugha ya mawasiliano ni English
Hapo ni triple advantage
Pussy unapata ya grade 1
Pesa ya kutosha na maisha yamebadilika kwa 100@%
Na mtoto (utapatiwa au ushapatiwa)
Na ngeli ndo hiyo inapaa
Ooh thanksTayari wana mtoto wa kike wa miezi kadhaa alisema... Hujasoma extra episode za season one?
nikimjua wife wake wallah nitazaa naye ili naye apate maumivuOoh thanks
Ila wife hajui eeh
ππππnikimjua wife wake wallah nitazaa naye ili naye apate maumivu
Mama Edina chukulia we ndo Mama J ungefanyaje!Kiukweli mama J anakosea kukucontrol.
Anazidi kukufanya uwe nunda panyabuku
Bei zao huwa zinabadikika, sometimes wanatoa offer so bei zinakuwa za kawaida, cheki website yao britishcouncil wameweka kila kitu. Ukitoka hapo utaanza kutongoza wazungu maana confidence inaongezeka 100%.Mkuu huduma za English course, British council zipoje na ada ni shillingi ngp.
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Iryn anabadilika kutokana na mazingira, na sio aina ya mwanamke wa kujionesha, hanaga dharau na yuko poa na kila mtu. Katika maongezi yetu tukiwa mimi na yeye ngeli itatumika 60% hata Kiswahili anaongea vizuri kabisa.Kumbe INSIDER MAN ukiwa na Iryn huwa lugha ya mawasiliano ni English
Hapo ni triple advantage
Pussy unapata ya grade 1
Pesa ya kutosha na maisha yamebadilika kwa 100@%
Na mtoto (utapatiwa au ushapatiwa)
Na ngeli ndo hiyo inapaa
Usimbane sana mwanaumeMama Edina chukulia we ndo Mama J ungefanyaje!