Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nikisomaga hizi story za jamaa nikitoka mtaani nakuwa najiamini unakuta natongoza wanawake kama sita hivi naambulia kuambiwa kijana jiheshimu na ujitathimini,Dunia haiko fair, Jamaa Kila Demu anamuelewa halafu Kuna kina sisi kuomba Qhumer tunapewa ushauri na maonyo ya kuenenda katika njia ipasayo, malamamamaee
😂aaah dadeq
 
You have nailed it all brother! but try to change your approach for you to get the trophy.
 
Nikisomaga hizi story za jamaa nikitoka mtaani nakuwa najiamini unakuta natongoza wanawake kama sita hivi naambulia kuambiwa kijana jiheshimu na ujitathimini,Dunia haiko fair, Jamaa Kila Demu anamuelewa halafu Kuna kina sisi kuomba Qhumer tunapewa ushauri na maonyo ya kuenenda katika njia ipasayo, malamamamaee
Mapenzi na umaskini haviendani, angalia mazingira ya kina Iryn, Asmah, Jane, Prisca etc. Sasa we unaenda kwa madem hata uhakika wa kula yake shida.
 
Daraja la Salander ndo kivutio pekee cha Dar es Salaam. Nakumbuka nikiwa na endesha Uber foreigners walikuwa wanaliongelea sana hili daraja, kama video walikuwa wanachukua za kutosha.

Ukitoka Coco mpaka Kivukoni utasema sio Tanzania hii barabara ilijengwa kwa viwango, na mazingira yake ni tulivu na masafi.
IMG_7184.jpeg
 
Daraja la Salander ndo kivutio pekee cha Dar es Salaam. Nakumbuka nikiwa na endesha Uber foreigners walikuwa wanaliongelea sana hili daraja, kama video walikuwa wanachukua za kutosha.

Ukitoka Coco mpaka Kivukoni utasema sio Tanzania hii barabara ilijengwa kwa viwango, na mazingira yake ni tulivu na masafi. View attachment 3002638
Naona nyoya la chombo ya fundi
 
Sio daraja la Salander, hilo linaitwa daraja la Tanzanite. Daraja la Salander ni lile chini kule la zamani
 
Back
Top Bottom