kipanga85
JF-Expert Member
- Apr 15, 2024
- 2,459
- 6,466
asmah ataendelea kukuonyesha kuwa anakupenda lakini hamna kitu kitaendelea kati yenu zaidi ya urafiki wa kawaida50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.