Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
1.Kizoka utampa gari episode ya 16
2.Zanzibar utaenda na Lucy
3.Asmah utaghairi kumla
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.

1. Kizoka utampa gari episode inayofuata
2. Utakwenda zanzibar na asmah
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Kizoka hautampa gari

Na Zanzibar hautaenda
 
1. Asmah utamshughulikia bila Hiyana mkuu bila Hiyana, pasipo kujali kuna mama J home na huwa anakupatia yote bila mipaka, wala hutokumbuka kuna Irene mama Kijacho na mwanamke unaye mhusudu.
2. Kizoka atarejea kama alivyo ahidi na utampatia gari ndani ya chapter 14 ijayo, na ataanza kazi.
3. Safari zako ni kama haziaminiki mbele ya mama J, hivyo ataomba safari ya Zanzibar mwende wote na itakuwa hivyo.
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
ZANZIBAR UTAENDA NA MAMA J
 
1. Kizoka utampa gari episode ya 16
2. Utakwenda Zanzibar na Mama j
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
1. Kizoka utampa garie episode ya 16
2. Utakwenda Zanzibar na sumaiya
 
Zanzibar unaenda na mama J ili kumuondoa wasiwasi na kufuta makandokando ya nyuma. Kizito anapokea gari kwenye episode unayoenda kuweka sasa.
 
Back
Top Bottom