cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Ooh thanksIryn anabadilika kutokana na mazingira, na sio aina ya mwanamke wa kujionesha, hanaga dharau na yuko poa na kila mtu. Katika maongezi yetu tukiwa mimi na yeye ngeli itatumika 60% hata Kiswahili anaongea vizuri kabisa.
Ana zungumza lugha 7;
-Oromo
- English
- French
- Spanish
- Kiswahili
-Kizulu
-Afrikaans