Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Inahusu nini hii story najiona daily naipotezea huyo dada ni jini au tapeli naombeni kwa ufupi na je ni fiction au reality?
Inahusu maisha. wenzetu wanaishi huku TUKIWASINDIKIZA tukiwa hatuna maono na bahati tukijawa na uchungu tukiishi ndani ya mstari wa maisha ulioandikwa katika hatima na vinasaba vyetu.
Ukiingia utawaonna majasiri wa nafsi wenye kushikilia hatma za wenzao kimapenzi.

utajiri

ujasusi

ujasiri

usaliti

unafiki

urafiki wa faida

undugu

uaminifu

Ndugu, umefikaje ukurasa wa mwisho?
 
Inahusu nini hii story najiona daily naipotezea huyo dada ni jini au tapeli naombeni kwa ufupi na je ni fiction au reality?
Kuna nyimbo inaitwa Zali La mentali ya Prof. J.

Prof J alikuwa anasukuma mkokoteni, akajikuta mkononi mwa demu mmoja wa kitajiri. Pisi matata

Ila mwandisi insider alikuwa anaendesha Uber, akajikuta mikononi wa pisi matata yatajiri. Imebadilisha maisha yake, maono yake....story nzuri sana

Story ina udambwi udambwi mwingi
1. Romance
2. Billionaire
3. Betrayal
4. Crime
5. Fantasy
6. Mystery
7. Humor
8. Erotica

Hii story ukiitia kwenye television drama inakuwa bonge la story.

Ushauri wangu soma utaifurahia
 
Kuna nyimbo inaitwa Zali La mentali ya Prof. J.

Prof J alikuwa anasukuma mkokoteni, akajikuta mkononi mwa demu mmoja wa kitajiri. Pisi matata

Ila mwandisi insider alikuwa anaendesha USER, akajikuta mikononi wa pisi matata yatajiri. Imebadilisha maisha yake, maono yake....story nzuri sana

kwaio ushaur wako n upi hapo
bado hatujaipata point yako ya msng
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Unaenda na iryn
 
Mkuu, ionekanavyo...yuajua Sana kuhusu drama!...

Kuna nyimbo inaitwa Zali La mentali ya Prof. J.

Prof J alikuwa anasukuma mkokoteni, akajikuta mkononi mwa demu mmoja wa kitajiri. Pisi matata

Ila mwandisi insider alikuwa anaendesha USER, akajikuta mikononi wa pisi matata yatajiri. Imebadilisha maisha yake, maono yake....story nzuri sana

Story ina udambwi udambwi mwingi
1. Romance
2. Billionaire
3. Betrayal
4. Crime
5. Fantasy
6. Mystery
7. Humor
8. Erotica

Hii story ukiitia kwenye television drama inakuwa bonge la story.

Ushauri wangu soma utaifurahia
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Zanzibar utaongozana na ghati

Alafu insider mashabiki zako tunataman kukufaham, at least weka challenge atakae shinda atapata bahati ya kukuona.
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Utaongozana na Asmah kwenda Zanzibar
 
Back
Top Bottom