Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryn ameona isiwe shida wacha nichachue kidogo
Kale ni ka malaya kama umesoma episode za kwanza kwanza (6 au 7) na alimshamuonyesha mpaka text insider kipind wanaanza kujuana juana anampeleka kwenye issue zake za massage...mfano alishawah muonyesha request ya huduma full pamoja za sex Iryn akataja $10k, af akasema alitaja bei hiyo kubwa kama njia ya kumfukuza mteja..

Ila kwa wanaume tunajua tu, huyu manzi ni malaya.

Halaf kuchachua lilikua ni suala la muda tu, imagine ameachana Insider hana hata ubavu wa kumuhonga hata 1m per night, ni yeye tu anapewa sasa hapo kwa jamaa anatafuta nini..

Inshort anam keep insider na ni kama anamlipa fadhila kwakua alimvusha kipindi kigumu cha majonzi ya kufiwa na mama yake.. so ahe is paying him, no love hapo
 
Kabisa. Muosha huoshwa. Jamaa kaoshwa. Sasa akili zitamkaa sawa.
 
INSIDER MAN, tupia episode tufurahie vyema Sikukuu ya EID el HAJJ, huku tukijichana na Biriani na Kabul Pilau.
 
Bas hapa duniani huna faida yoyote wala huna maana ya kuwepo, bora ufe tu. Kwa kingereza hik ambacho hata mwanangu wa darasa la 5 anasoma na kukielewa wewe ushindwe, mkuu kafe tu huna faida hapa duniani
Don't worry man I will die soon, it's just am waiting to see if I can win the money through betting about kizoka😎
 
Absolutely, it's a new era in football, and it's thrilling to see the next generation stepping up. The unpredictability of the tournament adds to the excitement. Regardless of the outcomes, we'll witness some amazing matches and moments. And yes, the English medias’ reactions are always something to look forward to, it's almost become a tradition in itself.
 
Bas hapa duniani huna faida yoyote wala huna maana ya kuwepo, bora ufe tu. Kwa kingereza hik ambacho hata mwanangu wa darasa la 5 anasoma na kukielewa wewe ushindwe, mkuu kafe tu huna faida hapa duniani
Msinifanye nicheke hapa. Engilsh, Chinese, french au lugha yeyote ni just lugha. Unaweza kujua kiswahili chako na ukawa na uwezo wa kuchambua vitu freshi tu. Kuna watu wamepata bahati ya kusoma shule nzuri na wengine wakakosa.
Pia shule nyingi za serikali kiingereza sio kipaumbele kabisa. Mimi binafsi nimekijifunza Kwa mbinde maana darasani Nilikua nazomewa but nilitamani kukijua.
Tusiondondoleane heshima kisa kujua au kutokujua vitu. Kikubwa tuheshimiane tu. Sisi ni madaraja ya watu wengine na pia Kuna madaraja yetu hata hatuyajui lakini tukiheshimu kila mtu tutakutana nayo huko safarini.
 
Don't worry man I will die soon, it's just am waiting to see if I can win the money through betting about kizoka😎
Sometimes we just ignore them. The world has got a lot of those people who look down on others. I am glad I was taught to respect everyone regardless of their status, position or place. In this regard we shall become truly human. Just forgive and ignore some of the content. People have got their inner battle and tend to just pour them on people.
 
Kwel mkuu ila hata hii sio serious man, ndio maana hata mwamba Lemme say this kaishia kucheka tu hapo.. tunasogeza uzi tu kusubiri episode
 
I usually don't take them seriously bruh, am just a simple dude learning English in a hard way and one day yes😁😁 I'll be speaking like the man himself aka INSIDER MAN
 
tupe stor baba wengbe na masuala ya mpira wap na wap
 
Iryn siyo mjinga kuitoa simu yake ishikiliwe huku akijua ku na masamaki yaliyooza kwenye conversation. Hapo amemtega mwamba ili ajae kwenye mfumo wake. Convo ya kupika na Rebby
Iryn siyo mjinga kuitoa simu yake ishikiliwe huku akijua kuna masamaki yaliyooza kwenye conversation. Hapo amemtega mwamba ili ajae kwenye mfumo wake. Convo ya kupika na Rebby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…