INSIDER MAN anatuweka roho juu sana aseeNi huzuni kwakwel😪
The author keeps telling us, it is a true story.Mkuu, hii ni story tu, why do you use such irritating words?
Isitoshe, kama Iryn ana akili kihivyo si angeshamuacha Insiderman?
Insider VAR check inahitajika kwenye hili nilikuwa wa kwanza kutabiri refer comment #12980Nani kajitahidi hapa?
We endelea na shughul zaki, ukihitajika utaitwaMzigo bado tu?!
UNa akili kubwa mno ya kula kimasihara una bachelor ama Doctoral philosophyWengi wenu humu jamaa akiwaomba kota hamchomoi
Ulishindwa kuchomoa braza?? Dooh!!. Pole sanaWengi wenu humu jamaa akiwaomba kota hamchomoi
Hahahaa aisee kumbe haukuchomoa!! vipi haukuumia?Wengi wenu humu jamaa akiwaomba kota hamchomoi
Atajuuuta kuandika alichoandika 🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaa aisee kumbe haukuchomoa!! vipi haukuumia?
Mi naona huyo Cennet alidadavua zaidi kuliko hao wengine na mengi aliyosema ikawa!#12980 nilishaweka tabiri hiyo muda sana za challlenge zote tatu
Insider VAR check inahitajika kwenye hili nilikuwa wa kwanza kutabiri refer comment #12980View attachment 3019978
Mtabiri wa kwanza ndio mshindi, utajuaje kama baada ya mtabiri wa kwanza wao ndio walipata hilo wazo la kutabiri ? Wa kwanza ndio source.Mi naona huyo Cennet alidadavua zaidi kuliko hao wengine na mengi aliyosema ikawa!
Ni mtazamo wangu tu lakini
Cc Smart911
Ndio nini ?! Kota huko daslamu?Wengi wenu humu jamaa akiwaomba kota hamchomoi