Endelea na shughuki zako, ukihitajika utaitwa17 bado tu?
Hakunaga marefu yasiyo na ncha, 40 ikifika huwa kuna mistake za kiufundi kwa kujua au kutojua unaweza shake trap.Kwamba Irine huyu ambaye mara nyingi yuko smartz ku- anticipate matukio leo kasau chats za Jamaa anayemkula na akakupa simu?
Isije kuwa mambo kama yale ya yule mdogo wake walivokuwa wana-hug hadi ukaona wivu
Ni kweli ndio nashangaa tu. Lakini pia hapa Mungu anaingiaje kwenye suala la usaliti wa insider na Irine?Hakunaga marefu yasiyo na ncha, 40 ikifika huwa kuna mistake za kiufundi kwa kujua au kutojua unaweza shake trap.
Mungu hadhiakiwi.
Kwasababu katika kila jambo huwa tunaongozwa na nguvu ya Mungu( kama unaamini hivi).Ni kweli ndio nashangaa tu. Lakini pia hapa Mungu anaingiaje kwenye suala la usaliti wa insider na Irine?
Kwa sake ya uzi tuliache hili, maana inaweza kuwa mada ndani ya mada.Kwasababu katika kila jambo huwa tunaongozwa na nguvu ya Mungu( kama unaamini hivi).
Mungu hufanyiza jambo fulani kutokea( kama una imani hii).
Bila shaka....Kwa sake ya uzi tuliache hili, maana inaweza kuwa mada ndani ya mada.
Uko sawa sema Wakwanza kaelezea kiduchu sana !Mtabiri wa kwanza ndio mshindi, utajuaje kama baada ya mtabiri wa kwanza wao ndio walipata hilo wazo la kutabiri ? Wa kwanza ndio source.
Hii imeenda...maana nikinyimwa itakuwa kama goli la azizi ki kule masandwana.😂😂Uko sawa sema Wakwanza kaelezea kiduchu sana !
Anyways Mimi kama mimi nashauri Insaida awafikirie wote after all according to true story by Insaida mtoa uzi ako na pesa na ametabiriwa makubwa!
Sio mbaya akiwa offer kila Mmoko 50! Inanogesha inapendezesha na kufanya uzi kuwa so unique of all the nyuzi zilizopostiwa humu!
Nimeona pia kuna mahala alitoa wazo la kupost vocha humu as sadaka!!
So creative amazing yakufurahisha na Inapendeza sana kiukweli! Big up kwake ✌️✌️!
Cc Smart911
Wee Alubati Huu utabiri mbona kama ni wa ile offer ilopita sio hii yajuzi??? Mie Kilaza ujue Hebu nieleweshe vizuri#12980 nilishaweka tabiri hiyo muda sana za challlenge zote tatu
Insider VAR check inahitajika kwenye hili nilikuwa wa kwanza kutabiri refer comment #12980View attachment 3019978
Yes hakutaja alisema Wengi wamejitahidi kuotea then hao wengi ndio katoa list kuwa watatu ndio walijitahidi na ukiangalia kati ya hao aliowalist kiuhalisia mshindi nihuyo Cennet. Japo mi lasaba D na hesabu nilifeliiigi ila najua inaanza 23 then 24 kisha 25Ndio huo mshi hakuwahi kutajwa, alirudia tena tu kutaja challenge angallia nyuma challenge ilipoanzia
Anyway lakini kama ni mfuatiliaji mzuri kanuni ya ushindi ni mtu wa kwanza kutabiri na ndio aliweka kwa kuandika N:B chini.Yes hakutaja alisema Wengi wamejitahidi kuotea then hao wengi ndio katoa list kuwa watatu ndio walijitahidi na ukiangalia kati ya hao aliowalist kiuhalisia mshindi nihuyo Cennet. Japo mi lasaba D na hesabu nilifeliiigi ila najua inaanza 23 then 24 kisha 25
Cc Smart911
Kama hujachanganya files Umeupiga mwingi mkuu !Anyway lakini kama ni mfuatiliaji mzuri kanuni ya ushindi ni mtu wa kwanza kutabiri na ndio aliweka kwa kuandika N:B chini.
Vyovyote atakavyoamua its okay!
Mimi ni mshindani ndio maana napenda ushindi. Alijichanganya mwenyewe kutoa challenge mara mbili kwa mtu mmoja na yeye anakiuka kanuni ya ushindi.
duuuuuhINSIDER MAN unatuandalia episodes ngapi mkuu?? Af jana dsgn ka nimekuona Mlimani City mwanangu unadrive Pajero