Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimeshinda bet kuhusu kizoka asee nina baraka INSIDER MAN fanya utoe prize😁😁
 
Mzee kwa upande wake alinipa hongera za kuweza kupambana na maisha ya Dar na kufanikiwa maana sio rahisi. Pia, alinipa wosia wa kuhusu maisha na alinisihi sana nitulie na mama J maana hatapenda kusikia nina chepuka na wanawake wengine pembeni.
 
Shukurani sana INSIDER MAN kwa muendelezo. Ni jambo la kawaida kusoma pamoja wanafunzi. Hata hivyo, si kaiwaida kuchagua kusoma na jinsia tofauti kama hakuna "attraction" au connection yoyote hapo katikati ambayo itapelekea kuchafua hali ya hewa.

Huyo dogo asingeweza kuja getini kutazama kinachojiri kusingekuwa na connection ya kihisia na mwenyeji wake. Yote kwa Yote, sisi tulio na wapenzi wetu masomoni, tuwe makini na aina ya students wamaodurusu na wale tunaowapenda, mwanya kidogoo tu unaweza kusababisha mapinduzi makubwa ya viwanda huko ulaya.
 
Insider wanaman unaupiga mwingi story nimesoma season 1 ndani ya siku 3 na hapa with in one day nimesoma epsod 17

Kwa kweli story Iko vizuri

UnastahiLi 10M views
 
Huu mzigo umeisha ..!

Alisema mwezi wa 7 na tayari siku zimeisha
Hata tukichekj episodes unaona kabisa matukio yamepungua kabisa
Hawa wawili wapo powa tu ila nadhani tusubiri tu kuona itaisha vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…