Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

20EC2DF5-FD6E-41D9-B852-12E8B08D2F7F.png
insider man kaopoa binti wa ki Habesh… nifuge tumbo walau niopoe Mbodi
 
Nahisi Kuna figisu hapo ndio mana nimeuliza . Haina kwere mzee limeisha hilo
Umeuliza ukweli mkuu cennet wala hujakosea ,naona mkuu insider alipitiwa tu atakua ana mambo mengi kichwani hakuzingatia vizuri ,but una haki ya kuuliza coz tulikua wa kwanza kujibu na hata kama wamepewa wengine inshallah tu kila mtu na ridhiki yake ,hacha tuendelee kufatilia story ya mwenzetu
 
Back
Top Bottom