Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,728
Atafika tu 😂 ngoja apambaneumegundua eeh? dah maana tulipo na alipo dah mshkaji yupo far,vuta msuli kaka tupo mbali sana maana hata tushasahau kama mshkaji alianza mchongo wa kuuza mabegi na anko wake