Ugwanzee
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 138
- 240
punguza mamb flanflaan hv kumbukumbu zako ztakaa sawa alaf nna mashaka na ww hv hauna kchwa cha.panz.kwel ww huenda hata ww umejsaauStori si mnaya ila napata mashaka na uwezo wa muandishi wa kukumbuka kama vile alikua na recorder kipindi chake chote mpaka kuja kusimulia hapa,maana kukumbuka siku ya jumatatu wiki mbili nyuma kulikucha vipi mpaka giza sio kweli
some of us are gifted sana muombe mungu we umekosa ampe member wa familia yako
pia pole sana