Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa leo mdogo wangu, Sina ninacho kudai. Nje ya kumla Mary but nimefurahi ulivoumaliza ugomvi wako na Mary. Kwa insider ulivomuelezea Mary, yule binding ni wife materials hasa. Hongera nyingi sana kwa mama yake; mtoto wa kishua lakini ka maintain tamaduni zote za Kitanzania. Anaweza kuishi life style yeyote, ya kishua hata ya kimasikini as well.
Ngoma inaanza upya; Boss lady na kaka yake wamepataje namba zako, ni swali tunalo subiri majibu yake next episode, Asante sana tajiri mtoto, tajiri msomi. Pamoja sana
 
Oyo INSIDER MAN imekuwaje JIMMY WANA MAN na dadake IRYN wakakupata kwenye laini yako mpya? Wakati huo ulikuwa unatumia laini mpya pekee man.
MKewe ana namba zake na iryn ana namba za mama j na za hilda hivyo hilda au mama J Au jane hawawez mnyima iryn namba hususani hilda hawez mnyima namba anajua movie imefikia penyewe sasa.
 
hii ni story tu mkuu, usichukulie serious sana
 
Haya sasa nadhani wasomaji wamefurahi maana tukio walilokuwa wanalisubiria likamilike limekamilika 😆😆
 
INSIDER MAN niwe mkweli, leo hii nimeku salute, mwamba unaandika aisee..na niseme tu, kama haya ndio maisha yako halisi, basi wewe ni mtu uliyebarikiwa sanaaaaa na una kibali cha Mungu parcee yan wewe ibilisi alishakaa mbali na plan ya Muumba juu yako. Kwakifupi nasukumwa kuamini, unapita kwenye roadmap aliyokuwekea Mungu mwenyewe japo unaishi maisha ya zinaa sana.
 
Kama mwanaume jifunze kucontrol hisia zako sio kila sehem ya kuweka.
Hatimae umepiga dogo; wanaume tunajuana. Baada ya kufika Dodoma ulijitahidi kukaa mbali na warembo BUT Mary akaileta hadi nyumbani kwako, day 1 tu kakuvalia 👙 bikini, alijipanga and I think alitaka kusahihisha kile kilicho tokea kwenye ule outing yenu mliifanya Dar that Saturday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…