Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tabia yako ya huruma huruma kwa wanawake .. Jibadilishe.. Unaboa.. Umeniboa tangu uanze na A.. Haujiheshimu kabisaaaa wale wanawake zako.. Unawazunguka.. M sister wa P.. Mama J kapata mume bomu.. Aishi tu na wewe kwa maslahi tu na lazima nae amekujua amwnyamaza ale maisha.. Magonjwa omba yasikujie.. ๐Ÿ˜Š
Kama unaweza kuhesabu aliolala nao na kumuona wa hovyo basi elewa aliowakataa hawahesabiki wanaweza jaa behewa za SGR ya mama.

Kama mwanaume Insider anajitahidi kukwepa viunzi. Kuna wanawake wanaweka mitego mpaka unanyoosha mikono. Hebu vaa viatu vya Insider ungekuwa wewe ungewezaje kuwakwepa wanawake 100 wote wanaomiminika kwako. Au ndio ungepiga 2% halafu 98% kati ya mia unawapiga chini? Jaribu kupiga hesabu hiyo 2% kati ya mia ni wanawake wangapi.
 
Tabia yako ya huruma huruma kwa wanawake .. Jibadilishe.. Unaboa.. Umeniboa tangu uanze na A.. Haujiheshimu kabisaaaa wale wanawake zako.. Unawazunguka.. M sister wa P.. Mama J kapata mume bomu.. Aishi tu na wewe kwa maslahi tu na lazima nae amekujua amwnyamaza ale maisha.. Magonjwa omba yasikujie.. ๐Ÿ˜Š
kwani we inakuuma nn au na ww unautaka
oya braza INSIDER MAN kuna mtoto anautaka huku njooo umpe na yeye analialia huku
 
wanawake bhana ni watu wa ajabu sana!! Mtu unajua kabisa kuwa huyu mtu ana mke na mtoto, kisha unajua kabisa kuwa huyu huyu alimbebesha mimba mdogo wako tumbo moja, na kama hiyo haitoshi bado akakusimulia matatizo yake kuwa kambebesha mimba mwanamke mwingine tena Iryn. Sasa wewe una akili timamu kweli unapolazimisha kwenda kulala kwake? Yani eti friend mwanamke akalale chumba kimoja na friend mwanamme... Dah aibu nimeona mimi..

Wanawake mnajirahisisha sana mpaka mnatia kichefuchefu..hata kama una thamani, ukijirahisisha hivi thamani yako inashuka sanaa....

Halafu eti unasema ni wife material, hakuna wife material hapo ndugu yangu...wife material hawezi kujipeleka kwa mwanaume unayejua kabisa kuwa ana mke na michepuko ya kutosha... hilo ni chaka linginama hauna mwanamke kupata mwanamke huwa ni ngumu San
Kama hauna mwanamke kupata mwanamke huwa ngumu Sana.

Jua hivyo tu.
 
Wanawake mnajirahisisha sana mpaka mnatia kichefuchefu..hata kama una thamani, ukijirahisisha hivi thamani yako inashuka sanaa
Itoshe kwa kusema hivi
๐Ÿ‘‡
Newton's First Law of Motion states that a body at rest will remain at rest unless an outside force acts on it, and a body in motion at a constant velocity will remain in motion in a straight line unless acted upon by an outside force.
 
Back
Top Bottom