KAKA YULE
JF-Expert Member
- May 2, 2024
- 274
- 484
Yeah. Hasa wenye vyeo kwenye maofc na watu noma baadhiUko sahihi, lakini ndivyo ulivyo unawasemea wengine safi
Yeah. Hasa wenye vyeo kwenye maofc na watu noma baadhiUko sahihi, lakini ndivyo ulivyo unawasemea wengine safi
Mwamba yeye anajifaidia tu watoto wazuri halafu anawashauri mjikaze 🤣🤣Unakula tu , unatuambia tujizuie??
Huyu lazima ni Mama J maana kuna siku ulisema mna mtoto wa pili.🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Ushasababisha kwengine hahaha JASIRI HAACHI ASILI🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Hebu nitag kwenye stori za hao wengineMwamba katuwakilisha vyema kabisa,
Hii week imekua njema huku INSIDER MAN na Mary kule Analyse aka apostle na Katrina
Huyu ni Marry au[emoji2371][emoji2371]
Imagine; Mary kaondoka tu kurudi Dar, boss lady ndio katia timu. Yaani why hata haikutokea like a coincidence wagongane wote Dom?Kabisaaa yani. Mambo huwa sio mepesi namna hii kwa kutumia tu akil zako, japo ana hustle ila sio kwa bahat hiz za kila unachogusa kina slide simply kihiv. Kuna watu wana hustle aisee ila ngoma ngum balaaaa
Bahati tu sio kujua kuchanga karata. Bali ana neema ya Mungu. Anatembelea roadmap ya Mungu. Kuna mdau kasema hivo hapo juuKwa vyovyote vile aliyeambatana na Jimmy ni queen Iryn naona Hilda atakuwa amefanya yake ku disclose hiding number ya Insider chezea mwajiri wewe.Lakini nashukuru Iryn amekuja wakati Mary keshaondoka vinginevyo pangechimbika Bravo mwamba kwa kujua kuchanga karata vizuri.
Mwamba anapaswa ajue hilo kuwa yupo muda wake wakujipata so apunguze zinaa asije mkasirisha Mungu wakeKabisaaa yani. Mambo huwa sio mepesi namna hii kwa kutumia tu akil zako, japo ana hustle ila sio kwa bahat hiz za kila unachogusa kina slide simply kihiv. Kuna watu wana hustle aisee ila ngoma ngum balaaaa
Mwenye nacho anaongezewa. Nikiwa chuoni nilikodi demu mmoja ajifanye my gf lengo Kuna mtu namtaka. Sasa bana yale mapenzi ya kizungu hadharani ama mahaba,kula pamoja ,kulishana msosi cafeteria nk ,Itoshe kwa kusema hivi
👇
Newton's First Law of Motion states that a body at rest will remain at rest unless an outside force acts on it, and a body in motion at a constant velocity will remain in motion in a straight line unless acted upon by an outside force.
Shetani yuko kazini. Anakwepesha hapa anamtelekeza pengine. Shetani anaongoza kwa kung'ata na kupuliza kama panyaKwa vyovyote vile aliyeambatana na Jimmy ni queen Iryn naona Hilda atakuwa amefanya yake ku disclose hiding number ya Insider chezea mwajiri wewe.Lakini nashukuru Iryn amekuja wakati Mary keshaondoka vinginevyo pangechimbika Bravo mwamba kwa kujua kuchanga karata vizuri.
Mbona kaelezea vizuri? Tangu mary anakuja dom alisema atakaa week2. Kaondoka week ya 2 katikati may, 2023. Iryn kaja dom may mwishoni.Imagine; Mary kaondoka tu kurudi Dar, boss lady ndio katia timu. Yaani why hata haikutokea like a coincidence wagongane wote Dom?