Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Faster mpigie simu sister mwambie kuna muujiza huku.....halafu mwambie Jimmy huwezi kuongea hadi mwanasheria wako aje (sister). Sijapenda Iryn kurudi, atatuharibia movie yetu mpya kwa Mary
 

Hata usemeje.. Sibadili maneno niliyoandika. Hao wanawake hakuna walio nje ya mzunguko anaoupitia? Ingawa ni bwana huruma.. Inaonyesha na wewe kama yeye tu na mpo zaidi.

Haya nawe kazungukie wote wa karibu wanaojuana, tena bila aibu kama una mke na wewe kapeleke pia michepuko yako nyumbani kwako.. Namba moja kisa kupewa pesa kama yeye au lolote lingine.
 
Faster mpigie simu sister mwambie kuna muujiza huku.....halafu mwambie Jimmy huwezi kuongea hadi mwanasheria wako aje (sister). Sijapenda Iryn kurudi, atatuharibia movie yetu mpya kwa Mary

😂😂 Mimi sijapenda bwana huruma kulala na masista hao na ka chat ka mimba kakarusha. Mary ana Tamara sana tangu mwanzo na tabia mbaya kumtamani bwana huruma wa sista wake. Huyo atalala hata na mashemeji wa kwa bwanake maishani.
 
Hii ya leo ni moja ya episode tamu kuliko zote Mary kuliwa kama vile namla mimi nimeinjoy sana umejua kutuwakilisha

Hapo hapo Mary kakubali kuwa mchepuko na the Queen is back [emoji91]

Mshangazi Shunie unasemaje kigongo cha leo?

Kwa nini insider kila mchepuko anataka umzalie mtoto? Anaona raha wenzie kuwa masingle mother sio vizuri wachepuke tu eti nataka unizalie mtoto
 
Mimi sijapenda bwana huruma kulala na masista hao na ka chat ka mimba kakarusha. Mary ana Tamara sana tangu mwanzo na tabia mbaya kumtamani bwana huruma wa sista wake. Huyo atalala hata na mashemeji wa kwa bwanake maishani.
hapo mwisho umesemaaa?
 
Andaa huo uzi manake wengne kupata pisi kali ,,ni mara moja moja sana 😁😁
 
insider hata wewe ulkua na matatzo akoding na stor yako kwamba dadako alkupa dawa ya kwa mmasai ndo mana
Kuna mambo mengi nilifanya kwa juhudi binafsi mpaka nikawa sawa, Masai ilikuwa extra tu. But nilifight sana, tatizo langu mimi ilikuwa siakolojia nilichelewa kuanza sex. Mwanamke wa kwanza kuanza naye baada ya kumaliza form 6, mara ya kwanza naiona P*sy on sight, kwani wazungu walichelewa? Kitu shwaaa.
 
Nitaandaa uzi kwa vijana wenzangu, kuweni na subira.
 
Daah. Hakuna aliyesema ubadili maneno yako. Hata ukiniona niko kama hainipunguzii wala kuongeza kitu kwenye maisha.

Tabia za nyinyi wanawake wewe mwenyewe unazijua ingawa muda wote mawe kwa wanaume. Huyo Insider anayeonekana malaya hafanyi na mbuzi
 
Daah. Hakuna aliyesema ubadili maneno yako. Hata ukiniona niko kama hainipunguzii wala kuongeza kitu kwenye maisha.

Tabia za nyinyi wanawake wewe mwenyewe unazijua ingawa muda wote mawe kwa wanaume. Huyo Insider anayeonekana malaya hafanyi na mbuzi

Ha ha haaaaaaaaa
Kuna wanawake wengi.. Waliandika kabla alikuwaje.. Ni tabia chafu anafanya kuwazunguka wanawake wanao fahamiana bado awebwana huruma kwa Jane naye siku moja na mdogo wake Jane.

Hajiheshimu kabisa na hana heshima kwa wanawake haswa mke mtarajiwa Mama J na akifatiwa na Iryn nini kwenda kwa Asmah!!!!!

Shameful man
 

Si kasema labda mtu awe amerithi.. Hapo katoa kajibu au?

Ila kweli kawa mjanja ila hawezi tongoza wanawake nje ya walio pamoja.. Hilo hajalisema kabisa I guess. Yeye sio mbabe ni mzungukia hao hao..
 
Mama punguza hasira enjoy story kila mtu ana mapungufu yake.. hata hivyo amesema hii ni past yake kwa maana yamepita na amejifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…