Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

insider hata wewe ulkua na matatzo akoding na stor yako kwamba dadako alkupa dawa ya kwa mmasai ndo mana
Kuna mambo mengi nilifanya kwa juhudi binafsi mpaka nikawa sawa, Masai ilikuwa extra tu. But nilifight sana, tatizo langu mimi ilikuwa siakolojia nilichelewa kuanza sex. Mwanamke wa kwanza kuanza naye baada ya kumaliza form 6, mara ya kwanza naiona P*sy on sight, kwani wazungu walichelewa? Kitu shwaaa.
 
Nitaandaa uzi kwa vijana wenzangu, kuweni na subira.
 
Daah. Hakuna aliyesema ubadili maneno yako. Hata ukiniona niko kama hainipunguzii wala kuongeza kitu kwenye maisha.

Tabia za nyinyi wanawake wewe mwenyewe unazijua ingawa muda wote mawe kwa wanaume. Huyo Insider anayeonekana malaya hafanyi na mbuzi
 
Daah. Hakuna aliyesema ubadili maneno yako. Hata ukiniona niko kama hainipunguzii wala kuongeza kitu kwenye maisha.

Tabia za nyinyi wanawake wewe mwenyewe unazijua ingawa muda wote mawe kwa wanaume. Huyo Insider anayeonekana malaya hafanyi na mbuzi

Ha ha haaaaaaaaa
Kuna wanawake wengi.. Waliandika kabla alikuwaje.. Ni tabia chafu anafanya kuwazunguka wanawake wanao fahamiana bado awebwana huruma kwa Jane naye siku moja na mdogo wake Jane.

Hajiheshimu kabisa na hana heshima kwa wanawake haswa mke mtarajiwa Mama J na akifatiwa na Iryn nini kwenda kwa Asmah!!!!!

Shameful man
 

Si kasema labda mtu awe amerithi.. Hapo katoa kajibu au?

Ila kweli kawa mjanja ila hawezi tongoza wanawake nje ya walio pamoja.. Hilo hajalisema kabisa I guess. Yeye sio mbabe ni mzungukia hao hao..
 
Mama punguza hasira enjoy story kila mtu ana mapungufu yake.. hata hivyo amesema hii ni past yake kwa maana yamepita na amejifunza.
 
My guts inaniambia INSIDER MAN ukiacha mtoto na wife (junior) basi mtoto mwingine ni wa Iryn na yule mtoto wa tatu uliyesema unamtegemea ni kutoka kwa Mary.....well the story will prove Me wrong or otherwise.
Ase wakuu hii haijaendelea tu maan nimeishia episode ya 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…