Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Asmah😂😂😂
 
Hii stori ipo interesting inafundisha na inafikirisha!!🤔😊

-Mwanamke una gubu,kitandanai hujitumi,kitu kidogo unafungasha kwenda kwenu,una safari kusalimia kwenu unamuachia mumeo week tatu nne na hamu zake,akichwpuka unalalamika unafungasha kwenu!!

-Tangu lini kukawa na ubest friend kati ya mwanaume rijali na mdada unaona kabisa pisi Kali hata bibi yako aanakuonya kabisa we hutilii maana I,boss gani anaipenda familia yako hivo?sawa upendo ila shtuka

-washkaji na maarafiiki wote wanajua na kumpa Hongera mumeo Kwa kumpa hawara mimba,we huna habari,huna hata shushushu wako,wanakuzoom tu.
Umelala unafua kibarazani unacheza na mtoto unatoka mtaani siku zinaenda unajua mumeo Yuko mkoani kikazi kumbe kaja Yuko mtaa wa pili tu hapo na hawara ake Kwa raha zao na watu wanajua.we hujui maskini.ndugu wa mume wanajua we hujui.

-dada wa kitasha anaumia sanaaa akiona mwanaume ana mwanamke mwingine akisahau ye pia ni mchepuko anamuumoza mwenzie mwenye mume.hafikirii hisia za wengine,zake ndo anajali bila kuwaza hata yeye anakosea Kwa mwingine.peisca anapambania kumtukana iryn bit*ch kumbe nae anatoka na mwanaume wa mtu🤣
-binti unamtamani ex wa mdogoako,unajua ni mume wa mtu,ana mchepuko una mimba yake nawe unataka kuwa mchepuko unakubali kumzalia..wadada wakishua wakipenda🤣

Mwisho wa siku nimejifunza wanaume kuchepuka haiepukiki pia.hata asipopenda bado atapendwa.ni yeye tu kukosa msimamo

Bado naendelea kujifunza
 
Hapo kwenye kuwa na shushushu nimepapenda 🤣 mama mjengo alitakiwa awe na shushu wake yaani mume anapuyanga town ye katulia tu anajua yupo Dom ni dharau. Mbaya zaidi sio mnyonge kivile pesa anayo
 
sasa we umeumia nn hapo au ultaka wewe
 
Huwez jua labda wanamuona 📥 inbox
 
Zaidi ya dharau
Kua na shushushu unatakiwa kua na pesa; mama Jr ana pesa za kuwalipa? Ile paragraph uliomalizia pale ju ndio muhimu, "mwanaume kuchepuka haiepukiki..."
Tofauti na nyie wanawake, sie wanaume hata tukichepuka bado kuna mwanamke huaga yupo moyoni mwako. Bado mama Jr kajenga kibanda kwenye moyo wa mwandishi, wengine watapata penzi but moyo wake upo na mkewe always and this is how we are
 
Hii ni story tu ..kama story yoyote ki uhalisia haiwezekani kutokea ..japo mwandishi anajua kupanga maandishi na kuwe ladha..
 
Acha kumuonea wivu Mary.
 
Umechambua kama nyambari nyangwine 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…