Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ila INSIDER MAN jamani, ulishindikana tabia, hukumbuki hata maneno ya sister alikwambia nini wakati mnahangaika kumtafuta Lyn, na ulimuahidi nini sister..........ngoja tusubiri hiyo mimba ya Mary
 
SANCHI: “Insider unamaisha sana, hongera bossy wangu. Dodoma mtu akikuona anaweza kukudharau ila ni mtu mkubwa sana, mimi nilikushtukia mapema sana.”
QIBRA 🔪🔪🔪🔪🔪
🤣🤣🤣 Mpaka hapo SANCHI alishakubali sheria, ni kitendo SHIKA TUONDOKE tu. Yaan jamaa hata angeomba humo humo kwenye Benz angepewa.

Sema ROHO YA FISI haikumwingia!
 
39..?
 

hatari na nusu
 
Sio Kwa ubaya au Mimi mshamba sana kusema kweli Mama J anastahili heshima na upendo kuliko chochote yule ndio mke wako anaetambulika japo hujafunga nae ndoa

Binafsi Mimi Mke kwnagu ndo atakuwa kila kitu hata kama nitachepuka ila sio kupitilizaa kiasi hiki mchepuko sitaruhusu amfahamu mke wangu hata iweje!!

Yaan umefanya uhuni sana huko mkuu afu unamtafutia sababu umuache Nimemuonea huruma mkuu!!
 
Watu mna hasira na bwana mdogo. Namsifu kwa uandishi wake ameelezea side B ambayo huwa haizungumzwi kwa kina na huenda kwa kuwa yuko nyuma ya keyboard. Na hapa huenda ni just 30% ya matukio yote.

Kuelezea udhaifu ulio nao bila kujali negative comments zitakazoflow kwake nampa heko. Haya mambo walifanya wakina Nabii Musa. This is how wealthy and really men are.
 
Irene kajifungua kakaa week 2 Waethiopia waka mroga akafa .

THE END
Kufa Irene sio kwel maan nakumbuka huu mwaka juzi juzi hapa alitupostia parking IDs za Serena so obvious yupo nae bado lbda unambie huyo mtoto wa iryn alieko tumboni atafariki whether baada ya kuzaliwa or wakat anazaliwa
 
Nakazia kidogo hapa; vijana mliopo humu na mnaoifatilia hi story pamoja na sisi wazee, iko hivi, puyanga unavyo weza, kwenye mafanikio yako yote, NEVER and ever forget NYUMBA kubwa, nyumba kubwa na iheshimiwe na hasa kama nyumba kubwa hiyo mlianza nayo maisha kwenye scratch" nyumba kubwa ina Baraka zake, inalinda baraka zako. Justice for mama Jr.
Wazee wala hatutaki kujua kama mama Jr katoa mzigo kwa Azizi BBA or not but yule ndio nyumba kubwa, period
 
Kufa Irene sio kwel maan nakumbuka huu mwaka juzi juzi hapa alitupostia parking IDs za Serena so obvious yupo nae bado lbda unambie huyo mtoto wa iryn alieko tumboni atafariki whether baada ya kuzaliwa or wakat anazaliwa
Nadhani hata mtoto/binti yao bado yupo hai. Remember kabla hajaanza season 2 alisema, kwasasa yeye ni baba wa watoto 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…