Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

🙌🙌
 
"Binafsi Mimi Mke kwnagu ndo atakuwa kila kitu hata kama nitachepuka ila sio kupitilizaa kiasi hiki mchepuko sitaruhusu amfahamu mke wangu hata iweje!!"
NB:law kauli hii inamaana bado huna mchuma au mke ndiyo maana inakuwa rahisi kwako kudhan MWAMBA "anazingua"!!! Ukishapata mchumba ujue utuambie tena kauli yako.
 
EXPERIENCE🤝
 
Insider Insider Insider nimekuita mara tatu... Huyo Mary huyo ndiyo kirusi kikubwa sana kwenye maisha yako hasa kwa maamuzi unayokwenda kufanya now

By the way story tamu sana
Punguza ushauri watu wana mipango yao. Soma story matukio yenyewe yalishapita.
 
Mimi aiseeeee sina utani kabisa na mbususu akiingia tu nimekula na nimepita ila kuzaa hovyo watoto na wanawake wengi huo ndo ujinga sifanyi
 
Episode mbaya hii jamani lol, poor mama j
 
Hustler huwa tukipata tunajisahau sometimes,,hii episode imenikumbusha mchaga wangu daah

nilingia kwenye game nikashika cash na hii harakati ilinikutanisha na warembo wengi tu,, Nikaja mpiga chini mchaga wangu aisee bila sababu za msingi,, Nikiri yule ndo alikua mwanamke sahihi na alinipenda pamoja na mauchafu yangu yote,,

Tunawasiliana, najitahidi kujisafisha uenda nikampata tena.I REGRET
 
INSIDER MAN (naomba nieleweke vyema na mlengwa) vipande vinakuwa virefu kwasababu ya convos zisizokuwa na maana,,kuna sehemu nyingi zinakutaka uelezee kilichotokea tu basi... japo story inaelekea kuisha lakini usiimalize kwa uandishi mbovu namna hii
Bossy ahsante kwa ushauri, lakini kumbuka hii sio story ya kutunga au hadithi. Najaribu kuangalia njia nzuri ya kuwasilisha kwa urahisi na kila mmoja akaelewa. Wewe unasoma, mimi ninaandika, nakutana na changamoto nyingi sana, kwenye namna ya kupangilia haya matukio.
 
🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…